🌙 Nasaha za Leo–Jumamosi, 16 May 2026 | 28 Dhul-Qaada 1447H
📌 Ukiona moyo wako unapenda mambo ya shari na kuchukia mambo ya kheri basi fahamu moyo wako umekufa. Unahitajia kuuhuwisha kwa kujiweka karibu na mola wako kila nyakati na kuilazimisha kupenda kheri na kuchukia shari.
🌙 Nasaha za Leo – Jumapili, 17 May 2026 | 29 Dhul-Qaada 1447H
📌 Ni muhimu kwa Muislamu kuuchunga ulimi wake kwani ni miongoni mwa viungo vitakavyokuwa sababu ya wengi kuingia motoni.
🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://t.co/7FdD60rWAh
🌙 Nasaha za Leo – Jumatatu, 11 May 2026 | 23 Dhul-Qaada 1447H
📌 Sunna kwa Wanaume ni kutonyoa ndevu zao na ni juu yao kupunguza masharubu.
🌍 Jiunge na channel yetu ya WhatsApp kupitia link hii: https://t.co/7FdD60rWAh
🌙 Nasaha za Leo – Jumapili, 03 May 2026 | 15 Dhul-Qaada 1447H
📌 Mtu anapopuuzia neema ya kufichwa madhambi yake, anaweza kuadhibiwa kwa kufedheheka—hata kwa kusema mwenyewe makosa yake bila kujua.
- مقولة شهيرة للإمام الشافعي رحمه الله، تعكس مكانة الطب العالية في الإسلام .
قال: "لا أعلم علماً بعد الحلال والحرام أنبل من الطب، إلا أن أهل الكتاب قد غلبونا عليه".
- وضع الشافعي الطب في المرتبة الثانية من حيث النبل بعد علوم الدين (الفقه) .