@Eric__Bernard Takwimu hiyo hiyo ya laki 2 pia ni msaada mkubwa leo wanatolew hii huduma ya toto afya tunawasaidiaje tena? Vema kungekuwa na njia mbadala ya kumrahisishia huduma hata aliyeshindwa kumudu toto afya na si kuitoa.
Mmefanya kila namna kuhakikisha mnatupa furaha mashabiki wenu mlitamani kutuona tunafuraha zaidi ya kutinga hatua ya Nusu fainali haikuwa bahati yetu. Bado tunaimani na nyinyi @SimbaSCTanzania Nguvu moja
@habaujr@mshambuliaji Waislam hufunga na ufungua kwa kuona mwezi. Pili waislam hufunga na kufunga endapo mwezi wa ramadan umeanza kwa maana trh 1 na unafungua endapo mwezi haujaonekana ila ni tarehe 30. Mwezi wa ramadan umekuwa na siku 29 hivyo mwezi umeisha.