Tunachukua fursa hii topongeze mashibiki ambao wameonyesha nguvu zao kwa kuwapa nguvu wachezaji wakati tulipambana na Vital'O FC.Japo kua matokeo siyo yale tulikua tunatalajia ila vijana wameonyesha mpira mzuri.
Sisi ni kizazi kipya.
Lengo letu nikurudia daraja la kwanza
Leo tuwe pamoja na nyi.Tutawafurahisha kama kawaida. Ushindi ni wetu.
Sisi ni kizazi kipya.
Karibuni hapo saa tisa alasili ndani ya dimba la Intwari mjini Bujumbura.
Siku 4 ndizo zinabaki.
Mashabiki wetu munajiandaje?
Tukutane tarehe 2 Januari 2022
Sisi ni kizazi kipya.
Kila la kheri kwa mashibiki wetu katika mwaka mpya 2022
#Stand_Up_BujumburaFans🇧🇮🇧🇮
Timu imeweza kusajili wachezaji wafatao kwalengo la kuandaa EL Classico pamoja na mechi za marudio za Ligue Nationale B🇧🇮🇧🇮
1.Ndikumana songa
2.Kabuzi omar
3.kwizera Abi
4.Mwamedi Ally
5.Adrien Lopole
6.Rubugebuge confident
Tukutane Tarehe 2 Januari 2022
Sisi ni kizazi kipya
Timu imeweza kusajili wachezaji wafatao kwalengo la EL Classico
1.Ndikumana songa
2.Kabuzi omar
3.kwizera Abi
4.Mwamedi Ally
5.Adrien Lopole
6.Rubugebuge confident
Tukutane Tarehe 2 Januari 2022
Sisi ni kizazi kipya
Imisi 8 niyo yonyene isigaye. Turiteguye neza guhagana na Vital'O FC.
Twibuke kwubahiriza amabwiriza yo kwikingira ikiza ca COVID-19.
Sisi ni kizazi kipya
#Stand_Up_BujumburaFans
Shabiki wetu Amadi akimwambia Assumani shabiki wa Vital'O FC kuwa Tarehe 2 January 2022 atakoana Jinsi Kizazi kipya kinaangaa ndani ya Dimba la Intwari.
Abakunzi bacu mwiteguye gute? Imisi 9 gusa niyo isigaye kugira tubaryohere.
Twibuke kwambara agatambara gafuka umunwa n'amazuru dukaraba kenshi gashoboka kugira twikingire COVID-19.
Sisi ni kizazi kipya.
Tukunane Tarehe 2 mwezi wa kwanza 2022 tuanze mwaka mpya na furaha