Kwa wamama wote wanaoifanya dunia yetu kuwa bora zaidi, asanteni. Tunathamini nguvu zenu, bidii yenu, pamoja na upendo na uangalizi wenu wa dhati.
Heri ya siku ya Mama Duniani!
#ALAF#SikuYaMamaDuniani
Elimu siyo kusoma vitabu tu; ni kujenga mustakabali wetu! ๐
Kupitia Safal Alaf Foundation, tunawawezesha viongozi wa kesho wa Kitanzania kwa kuwapa vifaa na mazingira bora ya kujifunzia. Tuseme "ndiyo" kwa elimu bora leo! ๐โจ
#SafalAlafFoundation#ElimuKwanza#Alaf
Leo tunaadhimisha Siku ya Muungano, siku ya kihistoria iliyounganisha Tanganyika na Zanzibar na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Siku hii hutukumbusha kuwa umoja, ushirikiano na maono ya pamoja ndiyo msingi wa taifa imara
#SikuYaMuungano#ALAF#SafalALAFFoundation
Tunasherehekea miaka 10 ya Tuzo ya Kiswahili ya Safal kwa kuenzi fasihi yetu!
Tuambie ๐
Ni kipi kati ya hivi umewahi kusoma?
Au ongeza kingine unachokipenda!
Fasihi ya Kiswahili iendelee kukua na kusimuliwa.
#TuzoZaKiswahiliZaSAFAL#ALAF#SafalAlafFoundation#Miaka10YaFasihi
Unajua maana ya 'Kizungumkuti? ๐ค Tumeingia mtaani tukisherehekea muongo mmoja wa kukuza uandishi wa Kiswahili Afrika! ๐น๐ฟ
Hii ni Miaka 10 ya kuandika historia, na kuenzi lugha yetu tukufu kupitia Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika. โ๏ธ๐
#TuzoZaKiswahiliZaSAFAL#ALAF
Leo tunakumbuka urithi wa Abeid Amani Karume, kiongozi aliyesaidia kujenga msingi wa maendeleo ya Zanzibar na Tanzania. Siku ya Karume hutukumbusha umuhimu wa uongozi, umoja na kujitolea katika kujenga jamii bora.
Tukiheshimu historia yetu, tunaendelea kujenga mustakabali wetu ๐น๐ฟ
Jumatatu ya Pasaka ni wakati wa kupumzika, kufurahia muda pamoja na familia na kusherehekea furaha ya kuwa pamoja. ๐ฟ
Dakika hizi za pamoja ndizo zinazojenga kumbukumbu nzuri katika maisha yetu.
Tunawatakia Jumatatu ya Pasaka yenye furaha.
#JumatatuYaPasaka#SafalALAFFoundation
Pasaka ni sherehe ya matumaini mapya, upendo na mwanzo mpya. ๐
Inatukumbusha kwamba baada ya giza, nuru huja tena na kwamba imani na wema vinaweza kubadilisha dunia yetu.
Tunawatakia Pasaka yenye furaha, amani na matumaini mapya.
Heri ya Pasaka! ๐๏ธโจ
#HeriYaPasaka#ALAF
โณWito wa mwisho!!!
Magwiji wa lugha muda unayoyoma!
Hii ni nafasi ya kipekee ya kushinda tuzo ya kifahari na kuwa sehemu ya historia ya waandishi bunifu wa Afrika!
Tuma sasa!
โณ Mwisho: Machi 31, 2026
โ๐ฝ Tuma muswada: [email protected]
Juhudi ya timu yetu ilikuwa ya kipekee kutoka mwanzo hadi mwisho.
Hongera kwa wakimbiaji wetu waliokamilisha Kilimarathon ya 42KM
๐ Allan Semu & Julius Pamba
๐ Renatus Chaula
๐ Thadeo Alberto Namalonzo
๐ Allan Jonas Semu & Denis Josephath Mzulule
#Kilimarathon
Caption: Kama wadhamini wa msimu huu wa KiliMarathon, ALAF tunapenda kutoa shukrani za dhati kwa waandaaji na washiriki wote waliofanya tukio hili kuwa la mafanikio makubwa. Asante kwa kila mmoja aliyepita kwenye banda letu!
โณWaandishi! Zimebaki siku saba upate nafasi ya kuweka historia!
โ๐ฝUsikubali kupitwa na nafasi hii, wasilisha mswada wako leo katika Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika 2025 na uwe sehemu ya kumbukumbu ya miaka 10 ya ubunifu na utajiri wa Kiswahili.
Wakati ndio huu!โจ
Tunawatakia sikukuu njema, ikijaa furaha na amani ya moyo. Eid ni muda wa kusherehekea pamoja na familia, kushirikiana na kuendeleza mshikamano wa kweli.
Tujenge maisha yenye maana na baraka tele.
Eid Mubarak! ๐
#Miaka65YaALAF#ALAF#EidMubarak
Miaka 10 ya kuenzi walumbi walionadika historia. โจ
Wakati ndio huu, kama una mswada unaoweza kugusa mioyo na kubadilisha fikra, hii ndio nafasi ya kungโara.
โ๐ฝ Wasilisha mswada wako katika Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika na uwe sehemu ya kumbukumbu