@bakhita_esther You don't know how to lie,rais mwenyewe alisema doo zitawekwa 22k we unaongelea 25k??? 'mad you friends are' rearrange the words na ujue we ni nani
@ledamalekina Kuna mheshi uko Tz alisema wabunge hawafai kuwazomea vijana kwa kutokua na KAZI maana kama sio wananchi basi wabunge hawangekua na KAZI pia,back to you mwenye umenenepea pesa za wananchi kisha wajipiga kifua...shame on you