Aliyekuamini amekupa nafasi kubwa. Mtunziye imani yake. Mpe heshima yake kama tuzo ya kukuamini. Kubwa, jiaminishe - hapo utakuwa umemlipa stahiki yake.
Nikikabidhiwa nakala yangu ya Riwaya ya Peponi iliyoandikwa na Profesa Abdulrazak Gurnah na kutafsiriwa na Dr. Ida Hadjivayanis. Ilikuwa bahati kubwa kukutana na Magwiji hawa wa fasihi.
Mbwa na kubweka kwake hashughulishi wapita njia - bado hushikiwa mawe. Ila simba na ukimya wake hujulikanwa ujabari wake. Utukufu si kelele ni ukimya wa hekima na adabu.
Ali Hilal
Zanzibar.
Zisikulevye sifa za apizo zilizozaliwa na ulevi wa ubinafsi wako. Kelele za mlango si ubora wa ubao na utukufu wa bawaba. Ncha ya upinde si ishara ya umahiri wa bawabu alindaye kasri.
Si kila sifa njema huja kuupambanuwa ubora na utukufu wako. Sifa njema nyengine ni chambo cha kukigaragaza kiburi na majivuno yako hasa pale zitokapo upande wa wenzako. Siku zote husema - "DOSARI IKISIFIWA, SIFA HUWA NA DOSARI".
Qur'an conference (ZOOM)
JUMATATU 21/2/2021, Saa 5pm-6pm. Tunawakaribisha kuja kusikiliza ama kusoma Qur'an kwa kuwaigiza wasomaji wa kimataifa. leo tutakuwa na Sheikh Sudeis, Khudhaify na Mahir.
Meeting ID: 290 858 1384
Passcode: nRmPa3
@fatma_karume Mfano haufanani. Tunajisahau sana wanaadamu tukidhani usomi wetu ni akili nyingi hata kuingia kwenye hoja zinazokwenda kinyume na msingi wa maandiko matakatifu.
Bado tunahitaji nguvu za michango yenu kwa ajili ya ujenzi wa msikiti huu. Msikiti upo Chasasa, Wete Pemba.
Unaweza kuchangia kwenye nambari zinazoonekana hapo chini:
Tigopesa- Ali Hilal- 0719320407
Ezypesa- Said Ali - 0772818181
TANBIHI: Usitume kwenye nambari zisizokuwa hizi.
@fatma_karume "Ee Nabiy! Waambie wake zako, na mabinti zako, na wanawake wa Waumini wajiteremshie jilbaab zao. Hivyo kunapeleka karibu zaidi watambulikane (kwa heshima) wasiudhiwe. Na Allaah daima ni Mwingi wa kughufuria, Mwenye kurehemu."ย [Al-Ahzaab: 59].
Ni leo, (14 Oktoba 2021), mbili usiku, washindi wa Mabati-Cornell Kiswahili Prize for African Literature mwaka 2017, ndugu @JiniKinyonga na @ALLYHILAL watasoma kazi zao, na kushiriki mjadala utakaoongozwa na @moghassani, kupitia Zoom.
Meeting ID: 818 1672 9825
Pass Code: 937891
The @KiswahiliPrize reading series continues on October, 14th 2021. Our 2017 winners, @ALLYHILAL and @JiniKinyonga will read from their books and hold a conversation with @moghassani. This will continue in the lead up to the announcement of the 2021 awards shortlist in November.