Karibu katika ukurasa rasmi wa AM MEDIA, mahali sahihi ambapo utapata habari mbalimbali za burudani, siasa, uchumi na Podcasts.
Tufollow kwenye kurasa zetu katika mitandao ifuatayo;
Facebook Page: https://t.co/I8RkImEOF7
Insta page: https://t.co/8F8ipywuyj
Michuano ya mataifa ya Afrika AFCON ya mwaka 2027 ni rasmi itaandaliwa nchini Tanzania, Kenya na Uganda baada ya kupigiwa kura na wajumbe wa mkutano mkuu wa CAF nchini Misri leo.
#AMMedia
Mchezaji Baraka majogogoro kiungo Mtanzania anayeichezea klabu ya Chippa United ya nchini Afrika Kusini, ameibuka mchezaji Bora wa mechi katika mchezo wa ligi kuu.
Majogoro aliyetokea klabu ya KMC ametwaa tuzo hiyo baada ya kuonyesha kiwango kikubwa katika mchezo wa leo ambapo
Klabu ya Singida Fountain Gate imeanza safari ya kwenda nchini Misri kuifuata Future FC kwenye mchezo wa pili wa kuwania kutinga hatua ya makundi katika Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC).
Katika mchezo wa awali hapa nchini Singida walipata ushindi wa bao
Mchezaji wa klabu ya West Ham United Mohammed Kudus raia wa Ghana ameitaja nchi ya Tanzania kuwa ni nchi ambayo ipo kwenye mpango wake wa kuitembelea.
Mchezaji huyo anayevaa jezi namba 14 klabu hapo ameitaja Tanzania alipokuwa akiulizwa maswali 14 ya papo hapo akiwa mazoezini
Meneja wa habari wa klabu ya Yanga, Ali Kamwe ametangaza kuwa mchezo wao wa Jumamosi dhidi ya Al Merrikh utakuwa ni maalumu kwaajili ya kufuta uteja wa kutotinga hatua ya makundi ya klabu bingwa Afrika.
Sambamba na hilo mchezo huo utakuwa maalumu kwa mchezaji wao raia wa Burkinafaso Stephane Aziz Ki.
"Msimu huu tumekuja kiutofauti, mechi zote za Kimataifa tutazitangaza kwa jina la mchezaji kama ambavyo tulifanya kwa maxi Nzengeli, Mchezo wetu ujao utakuwa mtoko wa Aziz ki
Karibu katika ukurasa rasmi wa AM MEDIA, mahali sahihi ambapo utapata habari mbalimbali za burudani, siasa, uchumi na Podcasts.
Tufollow kwenye kurasa zetu katika mitandao ifuatayo;
Facebook Page: https://t.co/I8RkImEOF7
Insta page: https://t.co/8F8ipywuyj
upatikanaji wa habari kupitia redio.
Kauli mbiu ya Siku ya Redio Duniani 2023 ni ‘Redio na Amani’ ambayo inaangazia jukumu la redio kama chombo huru cha kuleta amani.
Ulianza kusikiliza Kyela Fm mwaka gani, na kipi ni kipindi chako pendwa.
Hapo awali mtumiaji wa mtandao huo alikuwa na uwezo wa kuweka picha, video na maandishi katika Status lakini sasa ataweza kuweka sauti ya sekunde 30.
#KyelaFmTech
2023 na Katibu Mkuu Kiongozi, Zena Said imesema uteuzi huo umeanza rasmi leo.
Hata hivyo, cheo hicho hakikuwapo kwa sasa ndani ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar tangu utawala wa Rais wa Awamu ya Tano, Dk Salmin Amour Juma.
mimi nakufa", ndipo alipopiga kelele kuita watu kwaajili ya kutoa msaada lakini tayari marehemu alikuwa amevutwa chini ya maji.
Mtendaji wa kata ya Muungano ndugu Rashid Hashimu anasema tangu litokee tukio hilo walijaribu kumtafuta mtoto huyo bila mafanikio mpaka walipofanikiwa
anakufa, alipofika eneo la tukio ndipo akamuona Tonny akipambania uhai wake kwa kujaribu kujivuta nje ya mto huku mamba akiwa amemng'ang'ania sehemu ya chini ya miguu yake.
Shuhuda huyo anaendelea kusema alipojaribu kumpa mbinu ya kujiokoa mtoto huyo aliishia kumwambia "Mama