Hilo treni la Odds 53 bado games 5–mpaka sasa Cashout mara 19. Games 12 za day 1 zimetoa.
Leo mchana tena tunapiga live ya TRENI lingine—tutapiga kanji Back to back mpaka TUCHOKE sisi.
Napenda kuchukua nafasi hii, Kumshukuru sana kaka yangu Bwege…. Pamoja na hali yake, hali ya usafiri wa Dar … Amejitoa na kuja mahakamani kusikiliza na kumpa nguvu Mwenyekiti wetu .. Tundu Lissu katika kesi yake uongo ya uhaini..
Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda kaka Bwege akupe afya njema na maisha marefu.
Tutashinda.
Ni siku nyingine ya kuishi bila kutegemea kupigiwa simu na namba ngeni ndio mkono uende kinywani.
Hii ndio imekuwa life style tangu 2023-mtaji wangu pekee ni AKILI YANGU TIMAMU, simu, PC & internet ya uhakika bila kusahau AFYA YA UHAKIKA.
Hii ndio tunaita FINACIAL FREEDOM.
"Niwaase mashabiki wenzangu wa Simba, uache vitendo vya vurugu uwanjani. Kwanza tuanze ulinzi wa wenyewe kwa wenyewe ukiona mtu anataka kuwasha zile fire works mzuie, ukiona mtu anataka kuingia uwanjani tushirikiane kumzuia ikiwezekana kumtoa uwanjani. Angalia mechi kama hii tunakwenda uwanjani bila mashabiki. Hatupo hapa kulaumiana ila kukumbushana."- Semaji Ahmed Ally. #NguvuMoja