๐น๐ฟ Meanwhile in Tanzania, Clatous Chama just put his name in the ring for the 2026 Puskas award.
The Zambian baller pulled off an absolute MADNESS in the Kariakoo Derby. ๐ฟ๐ฒ๐ฎโ๐จ
Yaani kutoka Ubalozi wa Ufaransa mpaka Oysterbay, tumechukua saa nzima na dakika kumi, sioni hata dalili za kufika Morocco!!!
Alafu hawa ndio wanataka kutawala watu kwa nguvu kwa mtutu.
Hakuna wanachoweza.
Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa.
Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume).
Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa;
- Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS) bado yupo ofisini
- Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) bado yupo ofisini
- Wakuu wa Mikoa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Mikoa yote husika wapo ofisini
- Wakuu wa Wilaya na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya zote husika wapo ofisini
Hakuna kuwajibika wala kuwajibishwa, halafu Umma ukubali kuwa hii haikuwa kazi ya dola yenyewe kujiandaa kuua watu wake?
Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crowne.
Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m.
Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa gari!!!
Yaani gari Machuma yote, engineering iliyopo pale kwenye gari unanunua bei sawa na ushuru wa mtu ambae amekaa ofisini tu na anakuchaji hela yote hiyo!!!!
Wakati mwingine kodi zinakua bei juu kuliko manunuzi!!!!
Huyu kijana awe mkulima au mfanyakazi, anafanya kazi ngumu sana kupata hiyo fedha, then inachukuliwa hiviโฆ
Alafu baada ya mda CAG anasoma ripoti kwamba uwanja ulitakiwa kujengwa kwa bilioni 187 baadae ukajengwa kwa bilioni 337..
Mara umekaa unaambiwa kuna eti Waziri anatumia gari binafsi ya bilioni 2, unajiuliza mtumishi wa umma ametoa wapi bilioni 2 kununua gari na mshahara wake unafahamika, au anamiliki nyumba tano za thamani ya bilioni tatu, nne au tanoโฆ aniliki mashamba ya mabilioni, amempa mama mkwe wake nyumba ya bilioni tano na gari la kutembelea la milioni 500.
Pesa zote hizi za mlipa kodi anaeumizwa kiasi hiki na mzigo wa kodiโฆ
Hapa nimesema magari tu, Ukienda kwenye kila kitu kinachoingizwa na kutoka Nchini ni mzigo wa kodi na maumivu kwa Mwananchi..
Na mwisho wa siku badala hizi fedha zitumike kwaajili ya maendeleo yetu zinaishia kwenye mifuko ya vibaka.
Hakuna barabara, hakuna maji, hakuna umeme.. Maisha magumu , mishahara duni hasa kwa walimu na manesi.
Hatuwezi kukubali kuwa watumishi wa vibaka wanaopora mali za umma.
Msanii fulani kaenda radio kufanya interview ya kutambulisha na kupromote wimbo wake maskini ya Mungu anajipambania.
Anafika radio mtangazaji anamuuliza kati ya finale na happy ipi ngoma kali na kwanini๐๐๐
Wanabishana hiyo topic dakika 10 nzima, then anaambiwa haya cha mwisho cha kumalizia kwa fans wako
muda umetutupa mkono!!
Dogo anaishia kusema tu wimbo wangu unapatikana kwenye digital platform zote subscribe!
Tuna industry katili sana๐
WINNER OF THE HUMAN RIGHTS DEFENDER AWARD!
Congratulations to @LarryMadowo for winning the human rights defenders award, an award recognizing Individuals or movements who, within the past year, have demonstrated outstanding courage in addressing and challenging current human rights issues.
#HRDAwardsAt10 #MeettheHRDs #CourageHasAName
๐ด Top 10 African Clubs Right Now ๐๐
After the quarter-finals of the CAF Champions League and Confederation Cup, hereโs how the best teams on the continent rank:
1๏ธโฃ Al Ahly SC ๐ช๐ฌ
2๏ธโฃ Mamelodi Sundowns ๐ฟ๐ฆ
3๏ธโฃ Espรฉrance Sportive de Tunis ๐น๐ณ
4๏ธโฃ RS Berkane ๐ฒ๐ฆ
5๏ธโฃ Pyramids FC ๐ช๐ฌ
6๏ธโฃ Zamalek SC ๐ช๐ฌ
7๏ธโฃ USM Alger ๐ฉ๐ฟ
8๏ธโฃ Al Hilal Omdurman ๐ธ๐ฉ
9๏ธโฃ CR Belouizdad ๐ฉ๐ฟ
๐ Simba SC ๐น๐ฟ
๐ฒ If you see your club on this list, share this post and let the world know.
#CAFCLwithMicky | #AfricanFootball
Hapa ni Mortuary ya Hospitali ya Rufani ya Sekou-Toure Mwanza, Hii ni miili ya Vijana wa Tanganyika waliouwawa Oktoba 29. Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwenye Hospitali nyingi Nchini.๐