“Parents wonder why streams are bitter when they themselves have poisoned the fountain”..John Locke / Choleric pure//Logistics and Transportation Management//🏀
@BarakaMaviatu Watu bora wajitolee kiwanja wajenge kanisa au mskiti. Wawalipe mishahara. Ila wakiumwa wanabebana kweny baskeli kilometer kadhaa kwenda kutibiwa. Wakipona tena wanakuja kutoa shukran ya fedha za maendeleo huku ibadani.
@TzPhones@BarakaMaviatu Hapana mjibu, unles hao democratic wanaofund iran terrorism ar muslims.
Umezunguka theoritically kum connect iran na terrorism, you expect uulizwe easy questn iran inauhusiano gan na uislam na ugaidi?. Utoe jibu moja tu IRGC, but hii app kuna watu very smart.🙌😁 usiweke hisia
@BarakaMaviatu@nonamme145 Kwenye ile series ya 3 body problem, kuna raia walisema kama hao aliens watatuattack 400 years later, tukaushe tu kwanza kwa dunia gan. Yan kuna mda unahis you in the wrong train.
@BarakaMaviatu@nonamme145 Juzi kat hapa tulipewa msaada wa gar moja la Ambulance toka Japan. Ukiachana la new innovation, hiyo huwa inakuaje yan unaskia et tumepewa msaada wa 1B Tshs na US.
@TillahBlessed Ni kitu gan ambacho unahisi Alikiba anakwama kufikia soko la kimataifa? through kuwa nominated kwenye tuzo za kimataifa.
Jibu kama journalist sio subordinate wa Kiba
@SalimuIbwe 😄😂Kalima yeye, kanusurik na kifo cha tembo au wamang’ati huko, makato kibao. Kapata hela mnakuja kumpa elimu ya fedha kweli.
kuna mda huw nachek jinsi serikali, wanaharakat, raia tulivyobize na mauchaguz, jezi, matamasha. While wakulima na wafugaji wanachinjana huko kusini🙌🚮
@KennedyMmari Haya mambo ya upepo wawe wanaacha yanapita tu huku huku. Serikali ikijiingiza mzima mzima kwenye mambo ya Ai afu baadae yakaenda sideways kama vitu vingine inakuaje?! Ndio tunaonekanaga serikali za Africa hazijielewi. Naomba Msi refer na refence za nchi zinazofanya. Hamchelewi😁
@NjiwaFLow Kwa ninavyojua kwa ile sheria ya 5 meters sjui. Kesi ya kumgonga mtu kwa nyuma huwa hutoki. Unless rushwa itembee au huyo ulomgonga kwa nyuma awe hana leseni. Kwahyo hapo akirud nyuma akakugonga wew ndio unamakosa, na ukitoa puwa ukasababisha ajali huko sasa itadepend.
@NjiwaFLow Hapo kwenye ubaguzi hatujambo
Kuna mwanaharakat mmoja mkubwa humu aliwahi kuja na hoja za kuwacharazia Azam, eti ile sio media ya Makka watangazaji waache mambo ya salam za kiislam... mara yakaja yale ya ukrislamu, nikagundua humu pia kuna uzuzu sana😀