#Neno..KUONGEZEKA KWAKO KUNATISHA! Mwanzo 26:12-17 (Part 3)...Kumbe unaweza ongezeka, hadi ukawa tisho! Wengine watakuonea wivu lakini ukweli wa mambo ni kwamba ndani yako kuna ukuu. Endelea kuongezeka katika Jina la Yesu! Tukutane Galilaya! #nurunaevahmwalili