@Britius4 @Mrsdaviee Sawa sisi tunaprovide, je yeye anatimiza majukumu yake, je yeye ni amani ya nyumba, je ni mwalimu kwa watoto,je anaandaa chakula nyumbani. .... Hizi ni shida ya haya mataptap tuliyonayo siku hizi na ndo hayaolewi
@Sirjeff_D Hiko kitu hakipo, Mungu wetu si mbinafsi, kwenda kanisani hukupq wewe nafasi ya kushiriki mibaraka ya Mungu pamoja na waabudu wenzio. Kutoa sadaka ni ibada ambayo huakikisha injili ya Mungu inaendelea. Cha kuzingatia ni je unaabudu sehemu sahihi inayofwata amri za Mungu.
@LuhagaMpina Hiko kitu ni uwongo paper ballots ni credible zaidi hii electronic muda wowote inaweza kuwa hacked. Na pia marekani hawapigi kura siku moja wana mail in voting siku 10 au 15 kabla so ni vilevile
@Maryftaddoh Ujinga mtupu, Mtu alikuwepo kwenye administration iliyopita wakaingiza watu Mil 10 illegals. Wakasababisha inflation dollar ikapanda huku tukawa tunanunua mafuta ghali. Alafu unalalamikia misogyny. Spoken like a true idiot
@mangekimambi Stupidity on its finest
Trump ni solution kubwa kwa swala la Uchumi wa Dunia. Ni mwanadiplomasia hapendi vita
Na sera zake za immigration, za economy, women rights ziko sensible. Hao democrats hawataki hata voters ID maana wanataka waibe. Its so rich coming from you
@BADMANSEMEDO@prossoff Amin mkuu huhitaji watu wanaokuheshimu sababu una pesa.
Hao ni wanafki waliochangamka.
Bora uwe na watu wachache wanaokupenda ulivyo kuliko wale ambao wapo kwasababu una mali au fedha.
@DaudiKihanda @NshomileOg Kwa nini ilingane yeye amechukua risk ya Bilioni kazi ikiharibika yeye ndo ana suffer pakubwa. Anaweza apoteze kampuni yake, jina , na kazi zinazokuja.
@BrianNaseebjose@Neypaul01 Kwahiyo akitembea na Bwana wa mtu mwenye kosa ni yeye au huyo Bwana, huyo afande anatafuta mtu anayeweza kumuonea angekuwa mbabe angetuma watu wambake mumeme alafu tungejua
Ukulima bhana una changamoto sana, Unaweza kwenda kuchagua jembe ukafika nyumbani ukakuta mpini uliokuwa nao sio size ya jembe.
Mbaya zaidi ni pale mpini unapokuwa mwembaba sana kushinda tundu la jembe.
Ikiwezekana kabla hatujanunua tupimishe mipini kwanza.
@Sirjeff_D hii nietzsche alikuwa anaongea philosophy nyingi ambazo haziishi, kutwa ilibidi tu asaidiwe na mafeminist ili aweze kupublish maandishi yake 😂😂