Achana na mambo ya kupaka mkongo,bukavu au kukuza uume,mwanaume lazima ufahamu maeneo yenye raha na hisia zaidi kwa mwanamke wako kisha cheza humo humo kama pele. Kumbuka kila mwanamke ana sehemu ambazo anawaka zaidi ya nyingine kwa hio wewe mwanaume hakikisha hakikisha unaongea na mwanamke wako na sio mwambo ya vua unachomeka na unaatwa pwa pwa pwaa pwaa pwaaa kama unatwanga kinu au unachimba kisiki
Usisahau ⚠️ kupima 🧪 H. Pylori 🦠,dundumio 🦋,mafuta 🩸,sukari 🍬,brusela 🧫. Haya matatizo 😷 ni balaa jipya 🚨 mjini ⚠️.
#doktamathew 🩺 #fyp 🎥 #highlights ✨ #viral 🚀🔥