KUSUDI LAKO LAZIMA LITIMIE.
Mungu anaenda kusimama na wewe jioni hii ya leo.
Zaburi 3:4
"Kwa sauti yangu namwita Bwana Naye aniitikia toka mlima wake mtakatifu"
Very happy to score 2 more goals and specially to have helped the team in this important win!๐ช๐ผโฝ๏ธโฝ๏ธ
Our fans have been amazing in our home with their fantastic support!๐๐ผ๐๐
HELLO ๐
Kuna Mambo 12 Hapa Ya Muhimu Ya Kuzingatia Ili Kujenga Maisha Yenye Mafanikio Na Furaha.
1. Malengo.
2. Elimu.
3. Afya.
4. Mahusiano.
5. Fedha.
6. Kujitolea.
7. Mazingira.
8. Kujiamini.
9. Maadili.
10. Usawa wa kazi na maisha
11. Kujifunza kutokana na makosa.
12. Mazoezi na muda wa kupumzika.
#Soma_tena Kisha Bookmark Hii โ
HELLO ๐
Labda Huko Nyuma Sikuwahi Zungumzia Hili, But Leo Wacha Nikulishe Madini Haya.
Uzi ๐งต
Mwanaume asipo fanya tendo (sex) kwa muda mrefu akili yake hupoteza smartness, Na kuwa nzito.
Pindi Mwanaume atakapo fanya sex tu akili yake hufunguka nakuwa nyepesii.
Lakini unapofanya mara kwa mara huwa ni hatari kwa afya yako,
Hasa ikiwa hupati chakula kizuri, mwili hudhoofika, efficiently ya akili yako hushuka, Viinilishe hupungua na Hupoteza nuru ya mwili wako.
Mwanaume mwenye tabia ya kupiga punyeto hupitia nyakati ngumu sana kiafya, Unaweza ukaona nijapo lakawahida, labda umefanya miaka 10 pasipo pata madhara yeyoto.
Lakini tambua kwamba itafika maali utajutia maisha yako yote, kunawakati utaona mwili unabadilika yote hayo ni punyeto,
Kuwa mvivi, mwili kukosa nguvu, kuwa msahaulifu mara kwa mara, kuto jiamini na kukata tamaa.
NB: SOMA TENA NA TENA KISHA BOOKMARKS โ
UKWELI NI KWAMBA, Wanawake Nao Wanajichua Au Wanapiga Punyeto Kama Wanaume Na Kitendo Hicho Kina Madhara Kiafya Kwao Kama Ilivyo Kwa Wanaume Hivyo Kukaa Kimya Bila Kulizungumzia Hili Ni Kutowatendea Haki.
Uzi๐งต
Retweet ๐ Kwa wanaume Like ๐ Kwa Wanawake.