Hali ya Fortunatus Buyobe ni suala ambalo linahitaji kupata ufafanuzi wa haraka kutoka kwa vyombo husika.
Katika hali hii, ni muhimu kwa vyombo vya usalama na serikali kutoa taarifa rasmi kuhusu sababu za kumshikilia mtu huyu.
Hii ni kwa kuwa sheria inamtaka kila raia kupewa haki ya kujua ni kwa makosa gani anashikiliwa, ili kuepusha hali ya utata na mabadiliko ya taarifa zinazoweza kuleta shaka miongoni mwa wananchi.
Hivyo basi, ni muhimu kwa vyombo vya usalama kutoa tamko la kisheria kuhusu hali ya Buyobe, ikiwa ni pamoja na tuhuma zinazomkabili na mchakato wa kisheria unaoendelea dhidi yake.
Hii itakuwa ni kielelezo cha uwazi na uadilifu katika utekelezaji wa sheria.
Kumekuwa na huzuni kubwa na madhara ya kutojua kwa umma ni kwa sababu gani mtu huyu anashikiliwa, hali inayoweza kuleta hofu na mivutano isiyohitajika.
Kwa maslahi ya haki na utaratibu wa kisheria, vyombo husika vinapaswa kutoa taarifa kamili na wazi kuhusu hali ya Buyobe ili kila mmoja aweze kujua mchakato wa haki unaoendelea.
Hii pia itasaidia kuepuka nadharia zisizo za kweli ambazo hujenga mazingira ya kutokuwa na imani kwa mchakato wa sheria katika jamii yetu.
Siku ya WATANGANYIKA KUKOMBOA NCHI YETU NI LEO.
Leo ni 40 ya Ndugu zetu waliouliwa kikatili na POLISI na vyombo vya usalama wakidai TANGANYIKA kuwa huru tena #MO29
Muda wa kuidai TANGANYIKA yetu kuwa huru tena kutoka mikononi mwa WAKOLONI WEUSU NI LEO. #D9
REPOST 200
#D9
#Disemba9Tunatoka
#SiriNiNamba
#TupoWengi
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
#Pichani
Anaitwa Michael Simon ni Diwani mstaafu kupitia CHADEMA kata ya Kiwira Wilaya ya Rungwe-Mbeya
Jana usiku kachukuliwa na watu waliojitambulisha ni askari wakiwa na silaha za moto na kuondoka nae mpaka sasa haijulikani kapelekwa wapi.
#FreeMichaelSimon
Kuna Washkaji wengi tu kwa ground wanapotezwa na hawana Watu wa kuwapazia sauti. Dogo anaitwa Ogunya Marwa alitekwa mwezi wa nne alikuwa anatema nondo sana pale TikTok pia alikuwa mwana Chuo wa MUST Mbeya.😥
Ilikuwa siku ya JUMATANO Tarehe kama ya leo ila mwezi ni wa 10.....ndio ilikuwa mwisho wa baadhi ya watanganyika kuwaona ndugu zao
Ndio ilikuwa mwisho kwa Mashujaa wetu kurejea katika familia zao
Mungu endelea kuwapa fadhila zako, Kwetu sisi ni Mashujaa waliosimamia HAKI 🙏🏾
Ukipenda iite Siku baada ya leo, Siku kabla ya Jumamosi, Tarehe 28 Nov....Ila kwa nguvu ya Heineken {AfterWork} tunasema FRIDAY ya DHAHABU.
Ni hiyo kesho wanangu utulivu wa burudani utapatikana TIPS MIKOCHENI huku koo likipozwa na Heineken baridi
#AfterworkbyHeineken
Humu tuu
Tumebakisha WEEK 2 tulikomboe hili TAIFA.
Bado siku 14 tuwawajibishe walioua ndugu zetu zaidi ya Elfu kumi. Wakati wanatupa idadi ya vituo vilivyochomwa moto wanajitoa akili hawataki kutuambia ni watanzania wangapi waliopoteza maisha.
Hii ni wazi kuwa hawa VIBAKA hawana mpango na sisi. Ni wakati wa kuidai nchi yetu na kuirudisha mikononi mwetu. Hiyo siku haipo mbali nayo ni 9 Disemba.
#D9
Repost 200
#TUTAKUWEPO🫵😎
Leo ni BIRTHDAY YA HUMPHERY POLEPOLE.
Kiongozi pekee aliekataa kuwa upande wa Serikali inayoteka wakosoaji wake ili iendelee kutawala watanzania. Alijuzulu Ubalozi ili aungane na WATANZANIA.
Kiongozi ambae alisimama kama Mzalendo kutuambia mambo mengi ambayo tulikuwa hatuyajui kama TAIFA ambayo watawala walikuwa wanayafanya kujineemesha wao.
Kiongozi ambae alitaka UWAJIBIKAJI kwa wote waliotufikisha hapa kama taifa kabla ya kuenda kwenye UCHAGUZI mkuu.
Amekuwa zaidi ya KAKA yetu sisi GEN Z—alitupa mafundisho ya kuijua nchi yetu kiundani japo ilikuwa ni kwa muda MFUPI sana.
Moja ya Kauli yake ya Mwisho alipoongea na TAIFA alitusihi “TUSIKUBALI KWENDA KWENYE MARIDHIANO BAADA YA UCHAGUZI” hii kauli tutaishi nayo Milele.
Hatujui kama upo salama mpaka muda huu ila nikuambie tuu tarehe 29 / 10 wananchi walizuia UCHAGUZI haukuwepo na dunia nzima iliona.
Hatujui kama Upo salama mpaka muda huu ila nikuambie tuu wale wale vijana waliopigwa RISASI na familia zao (29.10) wamesema watatoka tena 9 / 12 kudai haki zao na haki za wapendwa wao. WAKOLONI WEUSI walibidi waue watu zaidi ya ELFU KUMI ili wao watawale hili taifa.
Happy Birthday Polepole Bado upo Mioyoni mwetu na tutakupigania milele maana maneno yako juu ya nchi yako bado yanaishi.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎