Confidence and Hardwork ìs the best medicine to kill The disease called Failure.!!💪#jobless # PharmTech # Team @manchester united # @Young African #Crop Trader
Ukiwa mwanaume fala fala huweziona kama unateswa na mapenzi, kiuhalisia asilimia kubwa ya wana wanaoteswa na mepenzi ni wale ambao.
1. Hawana kipato + insecurity za kuzidi.
2. Hawajui malengo yao ni nini katika maisha.
The later results to the former
Kama haujui malengo yako lazima ukose kuwa na kipato maana asilimia 90 ya malengo ya mwanaume ni kushika pesa.
Lengo likiwa mafanikio yako maana yake utapambana kupata kipato na hautokuwa na insecurity za ajabu.
Kama hauna malengo basi utapambania huyo mwanamke anaekuliza huku ukimuona ni wa maana kuliko hata maisha yako mwenyewe.
Ukipambania malengo yako, trust me unapoteza energy ya kubembeleza mwanamke kila siku na hapa ndio unapata ile class ya ma broo tunaoambiwa.
UNADHARAU SANA na UNAJIONA SANA.
Bro, umri huu sio mzaha.
Sio mtamu.
Sio laini.
Ni kipindi ambacho maisha yanaacha kukudanganya.
Kati ya miaka 25–30, uhalisia unagonga kwa nguvu.
Unaamka na kugundua muda si mwingi tena.
Unaanza kuhesabu miaka badala ya ndoto.
Unaangalia pembeni na kuwaona wengine wakisogea
wakati wewe unahisi umekwama.
Hata huzungumzi sana,
maana kama mwanaume hakuna mtu anayepanga foleni
kusikiliza matatizo yako.
Wanategemea tu ujiokoe mwenyewe.
Kwa hiyo unabeba pressure kimya kimya:
Pressure ya kufanikiwa.
Pressure ya kutengeneza pesa.
Pressure ya kusaidia familia.
Pressure ya kuwa mtu wa maana.
Na ukiwa peke yako unaanza kujiuliza:
“Ninashindwa?”
“Nimeharibu miaka yangu mizuri?”
“Mambo yatabadilika kweli?”
Bro, ukweli ni huu
kipindi hiki hakikuumbwa kwa starehe,
kiliumbwa kwa ujenzi.
Huu ndio umri wa wavulana kuwa wanaume
au kubaki kuwa wavulana milele.
Ukweli wa kwanza lazima ukubali:
Muda hautakusubiri.
Sio kwa sababu unaogopa.
Sio kwa sababu umepotea.
Sio kwa sababu maisha hayakukutendea haki.
Kila mwaka unaochelewesha nidhamu,
unalipa kwa majuto.
Hiki sio kipindi cha kukimbiza starehe,
ni kipindi cha kutafuta mwelekeo.
Acha kuwafuata wanawake
kana kwamba wao ndio suluhisho.
Mapenzi ni kitu kizuri, ndiyo —
lakini mapenzi bila uthabiti yataku drain.
Mapenzi bila malengo yatakuteka.
Mapenzi bila ukuaji yatakuvunja.
Wengine watabaki na wewe ukiwa huna kitu,
lakini usizoea hali hiyo.
Mwanamke anaweza kukaa,
lakini heshima hupotea maendeleo yanaposimama.
Huhitaji kuwa tajiri ghafla
lakini lazima uoneshe jitihada, dira, na ukuaji.
Epuka wanawake wanaojua kudai tu:
muda, pesa, attention.
Watakukausha kimoyo na kifedha.
Mwanamke wa kujenga naye
anapaswa kuleta amani, sio pressure.
Msaada, sio msongo.
Uelewa, sio kulinganisha.
Pi acha tabia ya kuwa na wanawake wengi.
Kulala na wanawake wengi hakufanyi uwe mwanaume.
Kunakupoteza.
Kukosa umakini hakujengi chochote.
SASA TUZUNGUMZIE PESA, BRO. HAPA NDIPO UGUMU UPO. 💸🔥
Pesa sio kila kitu,
lakini ukikosa pesa
maisha yatakutandika bila huruma.
Bili hazijali hisia zako.
Kodi haijali ndoto zako.
Njaa haitasubiri motivation.
Maisha yatakudai kila siku
uwe tayari ama la.
Ndiyo maana nidhamu ni muhimu kuliko hamu.
Maisha hayabadiliki kwa sababu unataka.
Yanabadilika kwa sababu umeamua
“Nimechoka kuchezea uwezo wangu.”
Ukweli wanaume wengi wanaukwepa:
Huhitaji mamilioni kubadilisha maisha yako.
Unahitaji ustahimilivu,
ujuzi,
na mwelekeo usioukimbia.
Pesa hukua polepole mwanzo pole sana.
Lakini msingi wowote hujengwa hivyo:
kimya, boring, hakuna anayeona.
Mpaka siku moja speed inachukua
na watu kuanza kusema “amebahatika.”
Hawaoni nidhamu.
Wanaona matokeo.
Zingatia vitu vitatu:
1. Ujuzi wa kuingiza pesa.
2. Ratiba inayokuweka sawa.
3. Maono yanayokusukuma.
Kata usumbufu.
Sio kila kitu kinahitaji muda wako.
Sio kila mtu anastahili nguvu zako.
Hauwezi kujenga kesho
ukikaa kama mtu asiye na cha kupoteza.
Bro, acha kulinganisha safari yako na ya watu.
Wengine walianza mapema.
Wengine walisaidiwa.
Wengine walikuwa na pesa.
Lakini hakuna aliye na hadithi yako,
mapambano yako,
nguvu yako,
njia yako.
Tembea kwa mwendo wako
lakini usisimame.
Maana kuna kitu kimoja hakibadiliki:
Usipodhibiti pesa yako,
pesa yako itakudhibiti.
Usipochagua kesho yako,
maisha yatakuchagulia yenyewe.
Kwa hiyo hustle kwa malengo.
Pumzika kwa nidhamu.
Jenga kimya.
Kua polepole.
Na acha matokeo yakuseme.
Mwanaume unayemjenga sasa
atakushukuru kwa kutokata tamaa
katika kipindi kigumu ulichopo sasa.
Kunywa hii asubuhi 🍆💦
Maji ya moto glass 1 +tangawizi kubwa 1 +kitunguu swaumu punje 4
Chemsha maji kisha weka tangawizi, na katakata punje za kitunguu swaumu
Chuja, kunywa na siku 7.
Utapona :
-Kuwahi kufika kileleni
-Kukosa hamu ya tendo
-Kushindwa kurudia tendo n.k
Mchanganyiko Wa Saumu, Asali Na Karafuu — Siri Ya Nguvu Za Kiume..! (Testosterone hormone)
↳ Swaumu (Garlic) → Inasaidia kuongeza mzunguko wa damu, inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kurejesha stamina yako.
↳ Asali (Honey) → Inajulikana kwa kuongeza nguvu mwilini, kuboresha mzunguko wa damu na kuongeza uzalishaji wa testosterone.
↳ Karafuu (Cloves) → Inajulikana kwa kuongeza hamu ya tendo la ndoa, kuboresha stamina na kuimarisha misuli.
PS: Jinsi ya kuandaa na kutumia mchanganyiko kwako, Twende sambamba na UZI...
More:⤵
Katika mambo ambayo nimefunza kwenye uwekezaji wa Biashara zangu ni:-
Biashara nyingi zinakufa kwa sababu wamiliki wengi wa biashara hawafanyi mambo haya:-
1. Kufanya UTAFITI wa kina kuhusu Bidhaa zao, huduma zao na mahitaji ya wateja.
2. Kufanya TATHIMINI za mara kwa mara kujua maendeleo ya Bidhaa, Huduma, Wateja na Mtaji.
3. KUAJIRI pasipokuwa na utayari na mipango mizuri ya kutoa ajira hiyo.
4. Kutokuwa na CONSISTENCY katika kuboresha na kusimamia huduma zako.
5. Kutokuwa na mipango mizuri ya kufanya MARKETING ya biashara yako na kupelekea kutopata wateja mara kwa mara.
Biashara HAIANZI ukiwa na pesa. Biashara inaanza pale USIPOKUWA na pesa ila una MTAJI.
MTAJI ni Mchakato, sio kitu au fedha!
MTAJI ni
1. IDEA YA BIASHARA Kisha tengeneza
2. PLAN YA BIASHARA Kisha weka
3. MIKAKATI YA BIASHARA
4. Uwe na UAMINIFU WA KIBIASHARA
5. Jenga MAHUSIANO MZURI na wateja wako.
Mchakato wa kuanzishwa biashara unaweza kuanza pindi ambapo huna pesa. Na hizo pesa zikakukuta ukiwa kwenye channel ya kibiashara.
Uume Kushindwa Kusimama na Kulegea Wakati wa Tendo la ndoa, ED, Chanzo, Dalili, Uchunguzi wa kufanya na Ushauri wa Tiba.
Fuatilia Uzi huu Kwa Umakini...🧵