Je Yanga haikutekeleza mahitaji ya kimkataba?
Mkabata uliingiwa kati ya Yanga na Feisal au Feisal na TFF?
Mkataba huvunjwa na pande mbili zilizosaini mkataba baada ya majadiliano na makubaliano kufanyika.
Kazi ya TFF ni kuthibitisha kuvunjwa kwa mkataba.
Kama upo sehemu ya kazi au shughuli zozote halali, ikatokea umepata dharura iliyokufanya usiwepo kwa siku kadhaa, halafu kutowepo kwako kusioneshe tofauti kati ya kuwepo kwako na kutokuwepo basi jitafakari kwa kina. Siku zote tafuta kitu kitakachoonesha tofauti ya uwepo wako.
Binafsi sana nafurahi kuona wanarudi shule. Ila sasa tuwekeze kwenye kuwaambia wasikubali hiyo michezo wakiwa wadogo! Wasubiri, wataikuta, watashiriki mpaka watachoka!
#IjueSerayaMamboyaNje
Kukuza Umoja wa Afrika na Kuunga mkono juhudi za Umoja wa Mataifa katika kutafuta Maendeleo, Amani na Usalama Duniani...ni miongoni mwa kanuni za Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania.
#IjueSerayaMamboyaNje
Licha ya kujikita kwenye Diplomasia ya Uchumi Tanzania inaendelea kusimamia kanuni zake za uhuru, usawa, haki, mamlaka sawa ya nchi huru, kuheshimu mipaka ya nchi, uhuru wa kisiasa, ujirani mwema na kutofungamana na upande wowote...
#IjueSerayaMamboyaNje Mabadiliko katika mfumo wa dunia,kuisha kwa Vita Baridi,utandawazi,uchumi wa soko huria,teknolojia, kuongezeka kwa ugaidi,uhamiaji haramu, dawa za kulevya na uhifadhi mazingira viliisukuma Tanzania kubadili Sera ya Mambo ya Nje.
Nikisoma group hili nakuta wanapongeza sana, hili nakuta wanaponda sana, maneno ya kifedhuli kibao. Naona nyufa mahali. Mzee Mkapa alipata kusema; "Nyufa hizi zinazotokana kwa sababu tunapenda kuzungumzia watu badala ya sera." Tujadili sera, hoja, falsafa.
Ahsante sana kwa upendo na ushirikiano ambao mmetuonesha tangu tumezindua ukurasa huu rasmi.
Ni dhahiri kwamba kwa pamoja tutaendelea kushirikiana na kufurahia pamoja hapa hapa kwa lugha ya Kiswahili. Endelea kuja kwa wingi zaidi.β€οΈβ€οΈππ
Cde Mugabe was an icon of liberation, a pan-Africanist who dedicated his life to the emancipation and empowerment of his people. His contribution to the history of our nation and continent will never be forgotten. May his soul rest in eternal peace (2/2)
If ICC makes unjust prosecution, is such prosecution just to African States?
If ICC is illegitimate court, why is it there?
Do we need to believe that there are two international laws? One for the US and it's allies and the other for the rest of the world?