@swahilitimes Mimi ni mstaafu miaka 20 iliyopita na nimepigana vita vya Kagera Ops Chakaza nilikuwa 206 Briged 79 Km tulianzia Kakunyu Hadi Koboko Arua hiyo pesa ya vita hatujalipwa Hadi Leo wengi wetu wametangulia mbele ya haki wengine Bado tuko hai kwa ujumla hiyo pesa hatujalipwa
@swahilitimes Wale waliokosa sifa ya kuendelea na Jeshi walilipwa kifuta jasho Tsh 18'000 tu sh 5'000/ na sisi tuliopigana vita hiyo hela hatujalipwa mpaka hii Leo huo ndiyo ukweli na sisi tuliopigana vita baadhi yetu tuko hai
This is outrageous and honestly infuriating.
@Millicom and its mobile phone brand, Tigo, were secretly passing @TunduALissu's phone data to #Tanzania's repressive regime that was intent on killing him. He later survived being shot 16 times in Sept. 2017.
https://t.co/ol8HTvuVI9
Breaking News,
Mtoto wa mh freeman mbowe
"Nicole ameachiwa na police 🚨
Chapa repost 2500 Kwa Eshima ya Nicole kwaujasiri na kujitoa Kwa 🇹🇿✌️
No heat No fear ✌️ people
Baba Yake ana hela toka ezi izo…. Yeye Mwenyewe ni Mwanasheria wa mahakama kuu. Mama yake ni Dr. Bingwa kabisa pale muhimbili. Nyumbani mboga Saba na maV8 ya kutosha. Royal family. Still yupo kwenye mandamano kupigania watanzania. 🫡 Nicole.
Hongera kwa Jeshi la Polisi kwa kutimiza miaka 60.
Nimetazama sherehe zenu. Sehemu kubwa ya maonesha yenu ilionesha uwezo mkubwa kudhibiti raia kuliko kuwalinda. Ushauri wangu, ongezeni nguvu kwenye kulinda raia na mali zao, kuliko kwenye udhibiti na matumizi ya mabavu.
Hadi sasa bado sijapata uwezo wa kufumba jicho. Nawaza, kama RAIS anasema Serikali anayoiongoza haivumilii vitendo vya kikatili, kwanini hachukui hatua kwa hao watekaji? Pili, kwanini RAIS hakutumia picha ya Mzee Ally Mohammed Kibao na akatumia picha ya mkutano wake wa hadhara?