@Mwabuk2Boniface Waswahili ni watu wanaoongea kiswahili full stop hakuna kutoholewa wala nini!!Kilianza kuongelewa pwani hivyo wakazi wa pwani walikuwa wakiitwa waswahili
@Sativa255 Jamaa ndo keshakuwa waziri mumkubali msimkubali he is a prime minister na watanzania waliowengi wanamtambua hivyo machokoraa hata msipomtambua itamuathiri nini? Bambaclat
@fbuyobe Tunisia si taifa la waarabu ni taifa la berbers (amazigh) na lugha yao ni tamazigh na si waarabu wanazungumza kiarabu lakini si lugha yao get your facts right
@mangekimambi Stupid! Kama wewe umeona hivyo vifaa vya maangamizi middle kwani wengine wasione? Unaleta hadithi za mabaharia wa zamani vijiweni!Halafu eti unapambania nchi tumekwisha 😭😭
@godbless_lema Katika siasa hakuna formula moja makhsusi ambayo ni lazima iwe applied kila chama kina njia zake za kupita hivyo haimaanishi kuwa njia wanazopita CHADEMA ni takatifu na kila chama kifanye hivyo who are you to judge?Sometimes huwa Unajiona unaakili kuliko wengine while ni poyoyo