Napenda kutoa shukrani kwa Mungu,wazazi ,ndugu jamaa na marafiki,@THRDCOALITION na @humanrightstz, mawakili wangu,uongozi wa chuo.Hatimaye nimetunukiwa shahada yangu ,tuliapishwa kutumia degree zetu kwa maslahi ya umma. Hakika Mapambano ndio yameanza rasmi sasa,shukrani wote
mnamtupia LEMA lawama.
Jaji aliyo andika nimen'gamua machache.
"Wanasiasa Wanzungumza nje ya majukwaa ya Siasa ata simu wanapigiana nawakiwa wanashida wanaambiana tena vizuri tu"
Ata Rais uwa anawapigia nakuzungumza pamoja.
Tunarudi pale SIASA NA HARAKATI ZITENGWE.
Passport yangu alishugulikia Wakili wa Chama Bwana Dickson Matata , na hivi ndivyo nilivyo kabidhiwa. Wengine siwezi kuwasemea sana , isipokuwa passport ya Makamu Mkti Bara alirudishiwa baada yeye kuongea na Mkurugenzi wa usalama wa Taifa Nchini alipohitaji kwa ajili ya safari, alipewa na anaendelea kusafiri nayo ktk safari mbali mbali za nje ya Nchi.
Anko @Sativa255 ni mmoja wa watu ninaowaonea huruma sana . Mtu si tapeli, lakini akaamua kuingia kwenye siasa hizi za KITAPELI!
Nikimwambia: CDM ya leo si ile ya jana. MATAPELI wamejaa! Wanangu mnauzwa, mnatumika, halafu mnaambiwa mnaendelea na mapambano!
Hawa ma’bloo wametengeneza script kali kuliko movie!😁
Leo kuanzia saa moja kamili usiku kutakuwa na mjadala wa wazi kuhusu kero ya bandari Kavu jijini Dar esSalaam
Mzungumzaji mkuu Ndg @MtuturaAbdallah Waziri Kivuli wa Ujenzi, Miundombinu na Uchukuzi @ACTwazalendo.
Mjadala utaendeshwa hii
👇🏿
@ACTBarazaKivuli
Nyote mnakaribishwa
Join Tausi and Khalifa of The Chanzo as they host this X-space, discussing the rapid spread of ICDs (dry ports) across Dar es Salaam, and what this growth means for the city's mounting congestion crisis.
@TimDraper U appear to contradict yourself in your book(How to be)particularly on 80,regarding how you acquired Lupita Island. At one point,admitted U bought the island. At another point,U say there are no documents from Tanzania Government showing that you're granted the legal ownership.

U appear to contradict yourself in your book(How to be)particularly on 80,regarding how you acquired Lupita Island. At one point,admitted U bought the island. At another point,U say there are no documents from Tanzania Government showing that you're granted the legal ownership👇
I am selling my island in Lake Tanganyika, Tanzania. Gorgeous place, but we don’t use it enough. $7.9 million or best offer. Anyone interested should contact me directly at [email protected]
I am selling my island in Lake Tanganyika, Tanzania. Gorgeous place, but we don’t use it enough. $7.9 million or best offer. Anyone interested should contact me directly at [email protected]
Ngome ya Vijana @ACTwazalendo
tunampongeza KM @AdoShaibu kwa hoja hizi muhimu na za Msingi kuhusu Mchakato wa katiba Mpya na Vijana wa JKT alizowasilisha Bungeni.
Naamini @bunge_tz na Wabunge wote bila kujali itikadi wanapaswa wazitazame hoja hizi kwa uzito mkubwa.
Kwenye hili la LISSU limeonyesha hali na aina ya wanasiasa wetu tulionao hasa upinzani.
Kwanza wao wanaamini mahakamani hawawezi kupata haki wanayoitaka ila wanalazimisha kuwepo mpaka sasa.
Nani afahamu namna kesi za kisiasa zinavyomalizwa, chadema wanajua state nini inataka
Ngome ya Vijana @ACTwazalendo
tunampongeza KM @AdoShaibu kwa hoja hizi muhimu na za Msingi kuhusu Mchakato wa katiba Mpya na Vijana wa JKT alizowasilisha Bungeni.
Naamini @bunge_tz na Wabunge wote bila kujali itikadi wanapaswa wazitazame hoja hizi kwa uzito mkubwa.
Ngome ya Vijana @ACTwazalendo
tunampongeza KM @AdoShaibu kwa hoja hizi muhimu na za Msingi kuhusu Mchakato wa katiba Mpya na Vijana wa JKT alizowasilisha Bungeni.
Naamini @bunge_tz na Wabunge wote bila kujali itikadi wanapaswa wazitazame hoja hizi kwa uzito mkubwa.
@MariaSTsehai ACT Wazalendo haijawahi kunyamaza pindi uonevu unapotamalaki. Unaweza usivutiwe na @ACTwazalendo lakini kwenye principle ya kusimama na anayeonewa haijawahi kukaa kimya. Hakuna.