Uthubutu wako ndio utakao kutofautisha na wengine.
...Uthubutu wako ndio ambao utakupa uwezo wa kujijenga mwenyewe kila siku iwe ni shuleni, mazoezini au kwenye Biashara.
#anzasasa
@MariaSTsehai Wewe baba yako ni mkenya mama yako ni mtu wa Hungary mbona hatujakutenga?? Huyu ata awe mzanzibar bado ni mtanzania na sisi ni wamoja acheni sera za kibaguzi sisi ni wamoja kama mna michongo yenu ya kutugawa mtafeli
@Roma_Mkatoliki Kipindi anatukanwa na kudhihakiwa na vijana na wanaharakati wa chama chenu akiitwa msaliti ni kiongozi gani aliesimama na mbowe kukemea ilo swala?? Achane siasa za chuki.. democrats inampa mtu uhuru na haki ya kuchagua upande anaoutaka.. mnajiita chama cha demokrasia alaf hauifat
@moshi34@ISemwali@IAMartin_@freemanmbowetz Kipindi anatukanwa na kudhihakiwa na vijana na wanaharakati wa chama chenu ni kiongozi gani aliesimama na mbowe ata kwa kukemea?? Kama mnatambua wadhifa na cheo chake ndani ya chama?
@IAMartin_@freemanmbowetz Kipindi mbowe anatukanwa na kudhihakiwa na vijana na wanaharakati wa chama chenu ni kiongozi gani aliesimama na mbowe?? Mnajiita chama cha demokrasia why mtu akichagua upande wake mnamchukia je hiyo ndio demokrasia yenu?
@HildaNewton21 Juzi tu hapa dunia imetoka kumshuhudia Trump akiwa na mwanae nchini china sikuona ukihoji hilo why kwa samia ndio unataka kuleta taharuki?? Acha ushamba wako
@mangekimambi Hizi kweli ndio HARAKATI ZA PIMBI.π π Dada anazid kuyaingiza chaka mapimbi yake nayo bila kutafakari yanakubaliana na huu uzushi na upotoshaji bila ata kuchunguza kama hii taarifa ni ya kweli yanaanza kukurupuka kutoa matusi. Hivi wabongo mmerogwa na nani?
@JNtamagala40110 Anza wewe hapo kwanza Ndio tuone .. Wakenya mmeshindwa kudai haki za kulinda taarifa zenu za afya so now hamna privacy protection rais wenu kauza kwa American.. Bunge haijapitisha wala mahakama haijapitisha na mpo tu kama omenaa
@MariaSTsehai We paka mjane unataka kudanganya watu ... Hii video ni ya tarehe 29 October acha kupotosha ili watu wakuamini vijana wa Tanzania now wamechagua Amani na wameshtukia michezo yenu madalali wa damu za watu