@GuzmnChapo1 Senegali ligi yao ya ngap kwa ubora ,, uingereza Ina ligi Bora na maarufu duniani lakini haijabeba kombe la dunia tangu 1966.
Ishu sio ligi ni scouting ya wachezaji na network ya kuwauza ulaya wakapte uzoefu waweze kupambana na wenzao mbona India Ina watu bilion moja na haipo
๐น๐ฟ NEW: Tanzania is positioning itself as a major new destination for mining investment and critical mineral supply chains, relying on smart policy reforms to prioritize value addition.
@MichaelPayneUK Every prime minister minister resignation show how democracy need to employe angels ,,, because there is no perfect human sometime we need to collect them , advise them, help them when they make mistake!!
how many minister will you fire
@ayubu_madenge Demeokrasia ni mbinu ya mataifa ya kibepari kuweka vibaraka wao ,,, na kuandamana ni haki ya mataifa ya kibepari kumtoa madarakani kiongozi anayepindisha maslahi yao !!!! Marekani na ulaya wanatumia demcrasia kuwagawa watu ili iwe rahisi kuwatawala,,,, divede and rule formula
@assengajrr Mnasimamishaje chama kisa mtu mmoja mtakuwa wajinga hawa wanaendeleza MAPAMBANO ,,,, huwezi zila kufanya mikutano eti adi lisu atoke unazorotesha nguvu za chama
@godbless_lema Nyie si ndo mnafurahia tanzania kunyimwa hyo misaada!!! Binafsi Chadema haiwezi kuifikisha tanzania kwenye kilele Cha mafanikio !!! Labda waje viongozi wengine hawa diaspora bado sanaaaa