Mimi nitaendelea KUMUAMINI Chande ambaye alisema TAASISI ZOTE ZA HAKI JINAI NI MBOVU. Nitaamini hivyo, MPAKA YESU KRISTO ATAKAPORUDI kuwachua WAZIMA na WAFU.
Watanzania tuendelee KUMUAMINI Chande kuhusu UBOVU wa TAASISI ZA HAKI JINAI. Familia za WATU 518 ambao WALIULIWA tarehe 29 Oktoba 2025 ni MASHAHIDI wa UBOVU WA TAASISI ZA HAKI JINAI. Yeyote ANAETETEA TAASISI ZA HAKI JINAI, NI MNUFAIKA WA TAASISI HIZO.
TUME YA HAKI JINAI IAMINIWE:
Naomba kutoa TAHADHARI kwa watanzania kuwa MAKINI na baadhi ya watu WAONGO. Tume ya HAKI JINAI (Tume ya Chande) π ilishatoa RIPOTI kwamba; TAASISI ZOTE ZA HAKI JINAI NI MBOVU. Jamani, TUIAMINI TUME. Wapuuzeni WAONGO WOTE wanaosema KINYUME na TUME.
TAARIFA KWA UMMA:
Napenda UMMA wa watanzania ufahamu kwamba; mimi PETER MADELEKA, SINA na WALA SITUMII mtandao wa INSTAGRAM. Taarifa yoyote kwenye mtandao wa INSTAGRAM inayohusishwa na PETER MADELEKA, SIYO YANGU, ni YA UONGO, naomba MUIPUUZE.
SHERIA SIYO MITULINGAπ:
Ule muda wa mimi KUFUNDISHA SHERIA umewadia. Kuanzia tarehe 5 Oktoba 2026 π nitakuwa MAHAKAMA YA RUFANI pale ARUSHA ili KUTUNGA SHERIA MPYA (Precedent) ya βPLEA BARGAINβ. Kutakua HAKUNA KIINGILIO. Wote MNAKARIBISHWA.
Rufaa ya Jinai Kati ya Kijana HASHIMU ALLY dhidi ya PAULINE PHILIPO GEKUL kuhusu KUINGIZIWA CHUPA MATAKONI, itasikilizwa na MAHAKAMA YA RUFANI YA TANZANIA itakayo Kaa ARUSHA tarehe 7 Oktoba 2026.π
Nilipokutana na Mchungaji PETER MSIGWA katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam kwenye Kesi ya UHAINI inayomkabili TUNDU LISSU, leo tarehe 18 Septemba 2026
Jamani, eee! , MLALAMIKAJI (Complainant) wa ile βKESI YA KUDHARAU MAHAKAMAβ iliyofunguliwa dhidi ya PETER MADELEKA, ni CHIGGANGA MASHAURI TENGWA ambaye ni MSAJILI WA MAHAKAMA KUU π. Nitakapokuwa namuuliza MASWALI YA UCHOKONOZI (Cross Examination), MSINILAUMU ππ
Huo π ndiyo UZALENDO sasa. Sisi sote, ni WATANZANIA ambao tunapaswa KUTETEANA kwenye NYAKATI NGUMU. Pokea π·πΉππ₯ yako afande DCI-RAMADHANI KINGAI. Mungu atakupa THAWABU kwa WEMA WAKO.
Ndugu ALLY SALUM HAPI ni Kiongozi wa Siasa ambaye AMEFANIKIWA SANA kwenye KILIMO CHA PILIPILI kuliko Kiongozi yeyote wa siasa nchini TANZANIA ππππ
Miongoni mwa SIFA za Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) RAMADHANI KINGAI π, ni MKWELI SANA na MPENDA HAKI. Nimewahi KUMHOJI akiwa KIZIMBANI, kwake yeye, NYEUPE ni NYEUPE na NYEKUNDU ni NYEKUNDU. Kweli, KINGAI, HANA MZAHA. Safari hii, SERIKALI ITAUMBUKA.
Nimeambiwa na wateja wangu kwamba; Mheshimiwa Hakimu LOVENESS KUMBETA wa Mahakama ya Mwanzo IRINGA MJINI, HATAKI kuendesha Mahakama kwa NJIA YA MTANDAO kwa sababu HAJARUSIWA.πππ
MARIDHIANO MAHAKAMANI:
Haijawahi kutokea DUNIANI, Kesi ya UONGO ya Jinai, ikamalizwa kwa MARIDHIANO kule MAHAKAMANI. Tafadhali sana, kuweni WAANGALIFU. Kuna UTAPELI MPYA umeingia mjini.