@MwanzoTvPlus Nadhani makanisa yana cha kujifunza kwamba ili sadaka ziwe nyingi lazima kuhubiri haki na uwajibikaji wa waamini wao.Lakini unashangaa wanaolalamikiwa na uharifu ndio wanaopewa viti vya mbele makanisani.
@assengajrr Kanisa Katoliki huwa lina vipindi miaka mitatu mitatu ya liturgia ya Kanisa, Mwaka A, mwaka B na mwaka https://t.co/ASlPf70eS0 huwa hawasemi kwa kuwa mwaka A uliopita tulisoma masomo haya,basi mwaka A huu tusiyasome.Elimu kwa raia juu ya haki na wajibu ni continuous process.
@DrCyrilo Mimi nadhani wakirudi na kuwa wanachama wa kawaida tu kama Dr.Slaa,haina shida.Tatizo ni pale watakapoanza kuwaamini na kuwapa madaraka makubwa kwenye CHADEMA yao.Hapo itawalamba,wawapokee tu na kuwaacha tu.