Sikulala vizuri nikitafuta majibu! Najiuliza: baadhi ya Wa-Tanganyika hawana hata visa ya kuishi na kutembea kwa uhuru nchini kwao; wananyimwa haki ya msingi ya kutembea bila hofu ya kutekwa, kupotezwa au kuuawa, lakini hilo haliwapi hamasa ya kuwatetea. Badala yake, wanalilia visa ya Marekani 😢
Muswada hu unaipa Marekani mamlaka ya kuchunguza na kutengeneza orodha ya viongozi wa Tanzania wanaotuhumiwa kwa ukiukaji wa haki za binadamu, na mara nyingi hatua kama hizi zinaweza kupelekea vikwazo kama: Kufungiwa visa
Kufungiwa mali
Kuzuiwa kufanya biashara au safari Marekani
‼️🚨TUMPIGIE KURA SAMIA SULUHU‼️
Hongera @SuluhuSamia 👊🏽😀
Only woman on the list for Tyrant of the Year 2025!
Thanks @IndexCensorship
We ask the global citizens to vote for Samia Suluhu 🔥
Sasa tuhakikishe kimama kinapata tuzo ya MTAWALA DHALIMU wa mwaka 2025
Mwanamke pekee aliyewekwa kwenye orodha
Link:
https://t.co/yh9smSYU5s
#SamiaMustGo