Warning ⚠️: Graphic thread — proceed at your own discretion.
These are some of the unarmed citizens who were brutally massacred by samia suluhu hassan during the October 2025 sham election. Her own commission, under Chande, admits to 518 deaths—but that number is a deliberate understatement, far below the reality.
The truth is devastating: thousands of families have mourned, and many are still searching for their loved ones. People have disappeared without a trace. @CNNAfrica (@LarryMadowo) has uncovered mass graves.
In an attempt to mislead the public, the Chande Commission has dismissed these images as AI-generated. Meanwhile, @BenDoBrown has done critical work verifying their authenticity.
This was not an accident. This was not chaos. This was a massacre—and it demands accountability.
@UN@UNHumanRights@HouseForeignGOP@SFRCdems@SenateForeign@StateDeputySpox@EUCouncil
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo #Accountability
Sweden's worst foreign minister ever exploring new avenues with representative of a government that has stolen a 97% election win, killed thousands of Tanzanians, abducted, tortured, raped, violently stolen Maasai land etc, etc. Shame, shame, shame!
Yani hayana hata akili ya kubadili script ili wananchi waone wanaharakati waongo japo kidogo.
Yani wanapita mule mule, yani hawa wasaliti wa Abdul ni manyumbu yaliyopitiliza….. Kweli wameshindwa hata ku edit kidogo script?
Njooni X (Twitter) huko Meta kumeshaharibika!
Hata Dada wa Taifa mtamkuta hapa tu!
Leo useme tatizo ni VPN alafu unatafuta ukombozi?
Na mimi kwa sasa nita post hapa X zaidi - siwezi kujichosha na mtandao unaoshirikiana na wauaji! 🚮
Resistance is our right ✊🏽
Hakuna kukaa kinyonge!
#TutaelewanaTu
Kama hoja ndio hizi za kuitetea CCM
Swali ni jepesi, Kwa nini CCM wanaleta dharau kwa CHADEMA ?
Hakuna chama cha upinzani chochote kinachokwamisha maridhiano
Maridhiano yanakwamishwa na CCM na Samia kwa ku fail kujenga mazingira sahihi ya maridhiano
ACT ni kama nafikiria kwamba refa aendelee kuwa Samia !!! Kivipi wakati yeye ni mtuhumiwa ?
Chama za siasa kisicho na watu ground au shughuli yoyote ya kisiasa kwa Heche kusema ni vyama vya mfukoni vya CCM kosa ni lipi hapo? Vyama vyote vitafute wana chama na viwe na shughuli kwa ground na sio kulilia heshima ambayo haipo
Kila chama kitaheshimika kwa ushawishi wake kwa wananchi
Hata baada ya script kuvuja na wananchi kuambiwa bado yanapita mulemule kama manyumbu…….
Watanzania msikubali huu ushenzi wa kimama kufosi mwenyekiti mpya apatikane Chadema ili Chadema ifanye nae maridhiano ya kishetani.
Kama nilivyowaambia hii project ya Samia Suluhu na mwanae Abdul, wataanza kwanza hawa wasaliti ndani ya Chadema kudai mwenyekiti mpya alafu ndio msajili atatuma barua Chadema kuwa hawamtambui mwenyekiti wao na kwamba wawape jina na mwenyekiti mpya.
Chadema, sisi wananchi tunaowaunga mkono tunawapeni ushauri huu, ni bora wauwaji wa October 29 waifute Chadema ila sio Chadema kumsaliti Lissu na Watanzania kwa kuwapa Samia na Kikwete Mwenyekiti mpya wanaemtaka ndani ya Chadema.
Ni mara 100 Chadema ifutwe na dunia yote ione na nchi nzima waone chama kikuu cha upinzani kimefutwa na wauwaji wanaodhulumu haki kwenye nchi ila sio muwapigie magoti kwa kuwapa mwenyekiti mpya…..
Chadema ikifutwa ndio itakuwa kama wamewapaka wananchi pilipili kwenye kudai haki…..
PS: Nimesoma comments kwenye hii posti nimetokwa na machozi ya kuwa proud na Watanzania, aiseee Watanzania hamdanganywi tena na uhuni wa chama cha CCM…. Mko makini mpaka raha. Ila mngeacha basi kutolewa focus na drama za wasanii ndio tungekomboa nchi haraka zaidi. Yani sasa hivi changamoto iliyobaki kwenye kukomboa nchi ni kutolewa focus na wasanii na influencers wa Instagram. Tukilishinda hili la wasanii TUNATOBOA HARAKA SANA!!!!
Tomorrow! Kesho usikose X Space maalum ya Polepole na Utekaji Tanzania!
Make sure you are part of this important space - it will be hosted HERE 👊🏽🔥
#FreePolepole#FreeAllPoliticalPrisoners in #Tanzania
#Write4Rights
Where is Humphrey Polepole?
Humphrey Polepole disappeared after being abducted from his home.
Sign the petition and demand answers for his family from the Tanzanian authorities.
https://t.co/CXvRTGRW9J
Shida watawala hawajakubali nguvu ya cdm ktk meza ya maridhiano. Wanasahau walivyokwisha poteza mamlaka na uwezo wa kudharau cdm toka Oct 29! Iko hivi, ukisha mwaga damu ya mtu/watu, nguvu ya kimamlaka uondoka kwako. Unaihshi kwa denial state na coverup ya mauaji tu
Kazi hii hatukuchagua bali ilituchagua
Ukipata wito iitika alafu acha Mungu akuongoze!
Ila narudia wapendwa na si kwa mabaya HAKUNA wa kuja kutuokoa! Kama mna ndoto hizo jueni tutaendelea kudidimia tu!
Wachache tutamalizwa mtabaki mlio wengi mnasubiri kushushiwa mkombozi kutoka mbinguni
Formal ni moja 👉🏽 RESIST 👊🏽
Na kumbukeni sisi ni wengi kuliko wao
" We demand the production of Twaha Mwaipaya. Where is Twaha Mwaipaya?"
Kenyan Comrades from Mombasa, Kilifi and Kwale have held a peaceful procession seeking the release of Tanzanian activist Twaha Mwaipaya who was abducted in Machakos, Kenya.
Where is Twaha Mwaipaya?
#FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #PASNet
A first-hand account of Tanzania's 2025 election violence, arguing that peace built on fear and unburied history is no peace at all. Available in ES, EN, PT-BR and AR. https://t.co/UlvhBhF72s
‼️Breaking news‼️
Inadaiwa na vyanzo viwili vinavyojitegemea kuwa Fadhili Saga (msaidizi wa Mombo) ameondolewa kwenye nafasi yake! Kumbukeni huyu nimempigia sana kelele kutokana na kuhusishwa na ushenzi mwingi sana na ukatili!
Hii haitoshi lakini maana alikuwa anafurahisha wakubwa zake so #SamiaMustGo #D9 #D9Tunatoka
The High Court in Nairobi has Summoned the Director of Criminal Investigations, Mr. Amin to appear before the court over the abduction of Tanzanian Activist Twaha Mwaipaya who was abducted in Kenya.
Where is Twaha Mwaipaya?
#FreeTwahaMwaipaya#EndAbductionsEA#PASNet
Today as @VOCALAfrica_, we are at the Milimani law courts in Nairobi for the habeas corpus hearing of Tanzanian Twaha Mwaipaya.
It’s now about a month since Twaha Mwaipaya went missing and his whereabouts remain unknown. This is yet another case of transnational repression that is being experienced in East Africa.
Katiba inayojadiliwa ni ya Tanganyika!
Kwa wale wasiotaka kusikia mambo ya Tanganyika, wasubiri mjadala wa hiyo Katiba YAO wanavyoitaka ukifika wajiunge
Katiba Mpya kwa Tanganyika sio hisani ni LAZIMA. Hutaki jitundike!
Sasa ni wakati wa kuiheshimisha Tanganyika yetu 🤗
How I wish hapa Marekani Wakenya na Watanzania tungeweza kuji organize tukaandamana kwenye ofisi za Meta.
Hii ingeamsha media za Marekani juu ya tatizo hili la meta kufuta accounts za wanaharakati na wapinzani wa serikali ya Tanzania.
@Liberatus80@tausilikokola Please tuangalie jinsi gani kufanya hili jambo.
We have to bring awareness hapa Marekani ya jinsi Meta wana by operate nje ya Marekani when it comes to political opposition on social media.