Justice + Equality = Peace.......... .
Just walk beside me and be my friend. Don't walk behind me; I may not lead. Don't walk in front of me; I may not follow.
But realize that not all success is due to hard work, and not all poverty is due to laziness. Keep this in mind when judging people, including yourself.
because the more likely the outcome was influenced by extreme ends of luck or risk.
@mananajr_ Wacheni propaganda za kijinga, hatujawai kuwa Sawa na China.... Baada ya uhuru China walitusaidia kujenga reli ya tazara. Wewe unapata wapi ujasiri wa kusema tulikuwa Sawa na china
@Thommunkondya@Mwanamapinduz@Twaha_Mwaipaya, Yuko sawa hiyo ni kama cartoon kama hii hapo chini mdomo mkubwa, Pembe kuchwani, miwani kubwa
Kila mtu ana uelewa wake usilazimishe mawazo yako kwenye ubunifu wa mwingine... Na wewe unaweza kumchora unavyotaka
@wamiphotoz@daktariwawatoto Usichanganye mnyama na viumbe
Panzi, sisimizi sio wanyama ni viumbe wasio na uti wa mgongo (phylum arthropoda)
Hakunaga wanyama wasio na uti wa mgongo ila Kuna wanyama wenye uti wa mgongo (phylum chordata)