Wanaharakati walitaka kuona Manyota anafoka kwenye interview na kuishambulia Marekani ili amfurahishe Putin. Lakini wasichokijua diplomasia ya kweli haifanyiki hivyo..
BATUK: BRITAIN'S COLONIAL GRIP IN KENYA
BATUK: The White Man’s Burden in Kenya is not just a documentary about a British military base where soldiers roll around in the dirt for six months before returning home to the UK. It is a documentary about abuse of power, occupation of indigenous land and the unfinished business of colonialism.
For decades, ordinary Kenyans living around BATUK have raised allegations of abuse, sexual violence, ecological destruction and impunity, while one of the world’s most powerful former colonial powers continues to operate freely on Kenyan soil, handing out small amounts of compensation whenever evidence of alleged crimes reaches the media.
At the centre of the documentary is the story of Agnes Wanjiru, a 21-year-old Kenyan woman who was tortured, killed and dumped in a septic tank, while British soldiers mocked and ridiculed her death on social media. One soldier posed in front of the septic tank and posted, “If you know, you know.” Others joked about the five-month-old daughter she left behind, posting imagery of a baby beside a gravesite.
But the story goes beyond Agnes and her tragic killing and the shocking behaviour of British troops thereafter. The documentary asks deeper questions:
How did Britain maintain a military presence in Kenya, the very same year the country supposedly gained independence?
Why are foreign troops still training on stolen land while local communities continue to suffer?
And above all, why does the Kenyan government allow all of this?
Laikipia County, currently in the spotlight because of plans for an Ebola quarantine facility for US citizens, is the very same county where the BATUK military base is headquartered. This documentary helps connect the dots about why Kenya’s political elite remain so willing to cede sovereignty to foreign powers like Britain, and why they may be willing to do the same again with the United States.
This is Sovereign Media’s first-ever documentary. We are a small, independent team with a brand-new YouTube channel and no corporate backing. We need your support now more than ever.
Watch. Share. Comment. Spread it everywhere.
@AhmedKaballo@NaamMedia@VoxUmmah@venanalysis@qiaocollective@ProgIntl@KawsachunNews@OrinocoTribune@blkagendareport@SoberaniaPod
Siku ya kwanza ya ziara yangu ya kitaifa katika Shirikisho la Urusi ambapo pamoja na mambo mengine, nimepata heshima ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Rais Vladimir Putin jijini Moscow.
Kwa pamoja tumepongeza ukuaji wa biashara kati ya nchi zetu uliofikia asilimia 72 katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2025. Hata hivyo, kwa kuzingatia historia kubwa ya ushirikiano na uhusiano wa kirafiki kati ya mataifa yetu, tumekubaliana kuongeza juhudi za kukuza biashara na uwekezaji ili kuleta manufaa makubwa zaidi ya kiuchumi na ustawi wa wananchi wa nchi zetu.
Aidha, kwa lengo la kufungua fursa zaidi kwa wananchi na kuharakisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi, tumejadili namna ya kuimarisha ushirikiano katika sekta mbalimbali za kimkakati, zikiwemo sayansi na teknolojia, elimu, nishati, madini, kilimo, miundombinu na utalii.
Kuna mengi wanayokosea ila katika kitu CCM wanakijua vizuri ni akili za wabongo, wanajua muda gani tuwatupie mfupa gani.
Katika hali ya ajabu Watanzania hurukia mifupa tunayotupiwa na mbogamboga, CDM wakiwa mstari wa mbele kwenye kutoa maboko.
We need a genuine superstar signing this summer, it’s long overdue. And I need it as a left winger. Get me Vini or Mbappe or Kvaratskhelia. We need a statement signing.
Thamani ya mshahara wa mtanzania wa ndani haipimwi kwa USD inapimwa kwa Consumer Price Index (CPI) ya hapa nchini. Kama mfumuko wa bei wa ndani (Tanzania Inflation) upo chini ya 5% maana yake mtu huyo hajapoteza TSh 294k kwenye matumizi yake ya kila siku (kodi, chakula, nauli).