Kwenye mahusiano ya kimataifa, diplomasia na Itifaki mkuu wa nchi(head of state) kutembea na familia yake au mmoja wa mwanafamilia kwenye ziara ya kiserikali (state visit) ambaye anajulikana kama FIRST COMPANION ni tamaduni ya mda mrefu na ipo kwenye Itifaki