Ila akili za Maria na wanaharakati zinashangaza sana sasa EU wakikata misaada ya kimaendeleo anadhan itamuathiri nani viongozi? Au Abdul au Mafwele? Wenyewe si wanaendelea kulipwa kwa kodi haoni watakaoumia ni watanzania wa hali ya chini kama mm chura anaojinasibu anatutetea😅
Waziri ULEGA, katika barabara za Lami km 13,000 karibu 70% zimeharibika na zinatakiwa UKARABATI! Kwa bahati mbaya TANROADS iko hoi KIFEDHA. Hatari sana kuwa na WAZIRI asiyetosha!
Je, wewe ni mfanyabiashara na mzigo wako umekwama bandarini kutokana na changamoto za kodi ya forodha (Customs Duty) au ada za clearance? Usipoteze muda na kulipia faini za kuchelewa (demurrage).
Hivi kila mfanyabiashara akitumia hela za mteja wake kwa matatizo yake binafsi kama ada, chakula nk bila kumpatia mteja bidhaa au huduma anayoitaka tutafika kweli
Mnaotetea excuse ya kujitibu kwa order za watu mnatetea usenge
Ukiachilia order nyingi alizopokea huku nyuma hii ni order ayopokea mwezi wa tatu 600K tshs jamaa yenu akaanza kuumwa april? Mnaona michezo yani madeni na malimbikizo ya order yakamfanya huyu tapeli aumwe gafla ila atalipa tu hata kwa pingu
Wakali leo mm na upepo wa hatari ni vile sina mtaji mwenye ana mtaji walau 50k alete tusake 100k aviator kampuni iwe sportybet au Sportpesa
Narusha ndege kwa utulivu wa ajabu nicheki 0714055503 leo uone maajabu😅😅
Fahamu kilimchomtokea Erick Kabendera, mwandishi nguli wa habari za kiuchunguzi aliyegeuka pandikizi la mabeberu na kujikuta kajaa kwenye 18 za serikali ya Magufuli
Picha zima lilikua hivi
Unatafuta biashara ya kuanza duka la simu MWANZA ? Frame inauzwa mjini ikiwa KAMILI! Maeneo ya Nyanza (CBE ya zamani mkabala na samaki).
Ndani kuna:
✅ Mtaji wa accessories
✅ Furniture zote
✅ Kodi ya miezi 7 BURE/Imeshalipiwa
Bei: 18.5M TZS
📞 Piga/WhatsApp: 0758679685
Mkali @Maestrowafact kwa unyenyekevu ndugu yako naomba uniambie ulijuaje suala la Ninja litaisha jumatatu, kama huwezi nijibu hapa njoo faragha kuna za ugimbi