@HecheJohn Amka utajikojolea chaurembo.
Ukweli ni kwamba CHADEMA hamna nidhamu katika utendaji kazi wenu, nikama mmeokotana watu wenye matusi na maneno machafu mkapeana uongozi.
TAFAKARI.
KUMEKUCHAA!!
Naomba watu mmsaidie Heche tofauti kati ya mazungumzo na maridhiano, au mwambieni Lissu amwambie Heche kwanini alimpa ujumbe Wakili wake Kisabo kuhusu neno MAZUNGUMZO.
Niwape tu Exclusive, hili neno mazungumzo limetoka kwa Lissu na specific instructions. Ila sasa kwasababu Kiongozi wenu ana mihemko kaja kuongea na hiyo press kwa mihemko mikubwa. Uzuri huo utakatifu ambao mnawaaminisha watu nyie hamna. Mnaparuana kuliko jana π
Eti chama chetu akitafuti nafasi za uongozi, mbona kina Maria wanataka Lissu awe Rais au hamsomi π mfixuuuu!! @NNgabu_ wewe ndio msomi wangu waelimishe.