PhD za mama wanu ni za kuomba misaada sasa kajichanganya kwq JASUSI la URUSI huyo mwanetu HELA yake HAILIWI bure. HALAFU ni mfano wa wananume ma bahili sana kazi kwake๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
IMAGINE mama ake wanu ana PhD kuliko nyingi kumzidi PUTUIN mwenye ka degree moja na bado Samia anenda kuomba MSAADA kwa PUTIN hii kitaalamu inamaana gani ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
TUKUTANE ARUSHA!
Tarehe 04 Juni, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Ndugu Kenani Laban Kihongosi, anatarajia kuanza ziara yake rasmi Mkoa wa Arusha kwa kuanzia Wilaya ya Karatu.
Ziara hiyo inalenga kuimarisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM,
Watajali kitu gani tena kama waliingia Bungeni bila ridhaa ya wananchi ? Wewe imagine una Mbunge yuko Bungeni halafu hajui alipata kura ngapi ? Sasa itakuwa kwenda Morroco bila kibali ? Stori gani za aibu hizi mnaleta ?
Kinachomuokoa Nchimbi ni kwamba anajua anawindwa na kibibi, na amejilinda waziwazi dhidi ya kibibi
Kibibi kinaumiza watu sababu wanacheka nacho wakati kinataka kuwaumiza, matokeo yake kinakulukuvi
Kwa unyama aliofanya @SuluhuSamia
na genge lake dhidi ya Tanzania, taratibu #tutaelewana tu!
Leo kamati mbili za Bunge la Ulaya zimekaa kwa pamoja na kuazimia kwa kura kibano dhidi ya #Tanzania.
Thanks @davidmcallister for standing firm on this !
#BREAKING: JUKWAA LA MAJAJI AFRIKA LASISITIZA KESI YA LISSU KUAMULIWA KWA HARAKA
Jukwaa la Majaji na Wanasheria wa Afrika (AJJF) imeitaka Mahakama ya Tanzania kuharakisha mashauri ya jinai dhidi ya kiongozi wa upinzani Tundu Lissu, ikionya kuwa ucheleweshaji wa kesi unaweza kudhoofisha imani ya umma kwa taasisi za haki.
Katika taarifa yake, AJJF ilibainisha kuwa mashauri yanayomhusisha mwanasiasa maarufu huvutia uangalizi wa kitaifa na kimataifa, hivyo uwazi na kasi ya uendeshaji ni muhimu.
Jukwaa hilo lilionya kuwa โhaki ikicheleweshwa inaweza kuathiri imani ya umma kwa mahakama na mfumo mpana wa utoaji haki.โ
AJJF ilisisitiza kuwa uamuzi wa haraka na wa kuaminika unahudumia maslahi ya mtuhumiwa na ya Serikali, huku ukilinda uthabiti wa demokrasia.
Pia ilihimiza mahakama za Tanzania kutekeleza wajibu wao wa kikatiba kwa uhuru na weledi, kuhakikisha mashauri yanaheshimu viwango vya haki ya kusikilizwa na kuimarisha imani ya wananchi kwa utawala wa kikatiba.
Nyie wazanzibari akina Simai tulieni! Huyu kimama mwaka 2019 alisema wazi hawezi kuachia kiti cha namba mbili kwenda kuwa rais Zanzibar! Na Magufuli hakumtoa sababu alimgomea na angemfukuza angefungua pandora box na ye atimuliwe
Sasa ni hivi Nchimbi mkimpigia kura ya kutokuwa na imani bungeni mnatusaidia kama Taifa maana tutataka waondoke WOTE na Samia๐โ๐ฝ
Wamepigiwa kura wote wawili kwa pamoja! Waondoke wote kisha na nyie ondokeni hapo bungeni! Na we Simai utakuwa wa mwisho hakikisha unazima taa zote ๐คฃ
Makatili wauaji wakubwa
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
The first Tanzanian โpresidentialโ visit to Russia in 55 years comes at a troubling moment. As the U.S. and EU raise concerns over election violence, human rights abuses, and religious freedom in Tanzania, samia suluhu hassan is strengthening ties with Putin, who praised joint coordination "against hegemony."
Washington and Brussels should view this as a warning: authoritarian partnerships must not become an escape route from democratic accountability.
@davidmcallister@SenateForeign@StateDeputySpox@StateDept@SecRubio@tedcruz@SenatorShaheen@RepJoeWilson@ChrisVanHollen@JDVance
#TanzaniaMassacre #HumanRights #Democracy #FreeTunduLissu
OMG!!!!! A 90% drop? Wow!!!!!
Mr. President @realDonaldTrump, keep ignoring the low-IQ loudmouths.
They think youโre weak for keeping these negotiations alive, but theyโre missing the bigger picture: YOU ARE FINISHING THE IRGC WITHOUT DROPPING A SINGLE BOMB.
This blockade is doing more damage to the Islamic Republic than the actual war ever did.
A 90% collapse in oil exports? Thatโs extraordinary.
You donโt need to return to war. Just keep the pressure on, keep the negotiations going while you finish them off financially by maintaining the blockade. Every day it continues, the regime grows weaker. Soon the IRGC wonโt be able to pay their soldiers or fund Hezbollah and Hamas and even worse the economic hardship from this 90% drop will bring Iranians to the streets again.
As we say in Swahili: Adui yako muombee njaa tu.
WELL PLAYED MR.PRESIDENT, WELL PLAYED!!!!!!
Ukiharibu mifumo ya utawala wa haki, sheria , utawala bora na demokrasia huwezi kuwa na sifa yoyote nyingine ktk uongozi. Maana ktk msingi huu ndio Unaweza kuwa na kipimo halisi cha maana ya mafanikio. Barabara au madaraja hayawezi kuchukua nafasi ya haki , utu , utawala bora na demokrasia. Kanuni ya msingi ya mafanikio ni haki na utu.
โผ๏ธ๐จBREAKING NEWSโผ๏ธ
Amkeeni Watanzania โ๐ฝ
Kamati za mambo ya nje na ya maendeleo wamepiga kura na kupitisha azimio la kuitaka tume ya Umoja wa Ulaya (EU commission) isitishe msaada kwa serikali ya Tanzania
Kamati zimepitisha kwa kura za ndiyo 81, kura moja ya hapana na kura 4 kuharibika (hawakupiga kura)
Niliwaambia TUMESHINDA! Huwezi kuua maelfu alafu ukaendelea kutawala
Mungu wetu ni mwema!
Sasa azimio linaenda kupigiwa kura na Bunge zima la Ulaya - ikipita BHAS!
Wajiandae washenzi wauaji!
Foreign affairs and Development committees at the European Parliament have voted on asking the EU Commission to withdraw Annual Action programme (development assistance) for Tanzania
Voting results: 81 in favour 1 against 4 abstentions
Thank you @davidmcallister and @Europarl_EN ๐๐ฝ
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu