Makamu Mwenyekiti Chadema Zanzibar Mhe. Said Mzee Said akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kilwa Kivinje leo, tarehe 03 Juni 2026.
Kaimu Mwenyekiti Kanda ya Kusini Mhe. Belchomas Pomera akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kilwa Kivinje leo, tarehe 03 Juni 2026.
Matukio katika picha wanawake jasiri wa Bawacha wakizungumza katika mkutano wa hadhara Jimbo la Mpanda Mjini, Mkoani Katavi leo Mei 31, 2026.
#KatibaMpya#FreeLissu
JESHI LA POLISI LIMEVAMIA NYUMBANI KWA MBYELLA (ANAYEUZA NGUO NA VIFAA VYA CHADEMA NA KUONDOKA NA TSHIRT, KOFIA, NGUO NA BENDERA ZA CHADEMA.
Nimepata taarifa kwamba usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane, Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt zenye maandishi “FREE TUNDU LISSU”
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, Mbyella mwenyewe hakuwepo nyumbani so Polisi walifanya upekuzi na baada ya kumkosa waliondoka kwa muda.
Baadaye walirejea wakiwa na Gari aina ya Fuso kisha wakabeba nguo zote na vifaa vyenye nembo ya chadema ikiwemo Bendera za Chadema ambazo huwa anauza kisha wakaondoka na mali hizo bila kutoa sababu zaidi.
Kwa mujibu wa mke wa Mbyella (anayeuza nguo na vifaa vya chama) nyumbani kwao kuna duka la kuuza vifaa hivyo ambavyo Polisi wameondoka navyo vyote.
Tunafuatilia kufahamu sababu hasa ya kuvamia nyumbani hapo na kuleta taharuki kwa mtu ambaye hata kama wangemhitaji Polisi, wangempatia wito na angefika kituoni kama Polisi walikuwa na jambo na Mbyella.
Kuuza vifaa vya chama kama nguo, kofia, Bendera siyo kosa kisheria.
REPOST 200
Kwanini serikali haitekelezi maamuzi ya Mahakama.?
Amehoji Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu Prof. John Ruhangisa wakati wa mahojiano maalum ya kipindi cha #KatibaKitaa jijini Arusha.
Kutazama mahojiano kamili tembelea Youtube ya Wakili TV.
The Tanzania police deployed military-grade weapons during the October 29th protests. It’s as though the illegitimate government had declared war on its own people.
Instead of listening to the voices of its citizens, it responded with overwhelming force. The world cannot allow Samia Suluhu to remain in power!!!!!!
@potus@realDonaldTrump@SenTedCruz@SenatorShaheen
‼️🚨TUMEJUA MPANGO WAO OVU‼️
Msione huyu Sisty anahangaika kama kuku anayetaka kutaga - KATUMWA!
Wanalazimika kumwachia Tundu Lissu ila wameongea na kukubaliana akitoka Lissu akose platform ya kuongea na umma - so wameazimia kuifungia Chadema kama si kuifuta!
Tena msibishe nyie madhulmati wauaji maana vikao mkikaa tunapata details zote! Na hii niligusia ila jana au juzi kikao ndo kimeamua rasmi huu upumbavu!
Ni hivi: ACHANENI na huu uovu! Lissu mwachieni na CHADEMA acheni iendelee na kazi!
Sisi tunataka serikali na bunge haramu wote muondoke! Tuanze upyaa! Uchaguzi huru, haki na uwajibikaji kwa ajili ya mauaji ya Oct 2025 na Katiba Mpya
These are our demands kama wananchi and they are non negotiable!
#FreeTunduLissu #SamiaMustGo
Nchi yetu inafurahisha sana. Fikiria eti Serikali imewashtaki watu hawa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kigoma kwa kusema " mauaji ya 29 Oktoba 2025 hayawezi kufichwa na tume ya Uchunguzi" hapa kosa lao ni nini? Hivi tume ilisema wale 518 walijiua?
Nitawatetea watu hawa.
Wanawake wa nguvu wakiwasha Moto Mpanda Mjini leo. Mh. Rhoda Kunchela - Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Katavi na Mh Aida Khenani - Mwenyekiti Bawacha Mkoa wa Rukwa
Wanawake wa nguvu.
“Duniani kumekuwa na habari kuhusu kushuka kwa bei ya mafuta kwenye soko la dunia, hatua ambayo inahitaji kama nchi kuchukua hatua za haraka kushusha bei ya mafuta." Mhe. @jjmnyika
#MatukioPichaJana31_5_26
Mkutano wa Hadhara Chadema Jimbo la Mpanda Mjini, Ukiongozwa na Wanawake wa nguvu wakiwasha Moto 🔥💪🏽✌🏽Mh Rhoda Kunchela -Mwenyekiti CHADEMA Mkoa wa Katavi na Mh Aida Khenani -Mwenyekiti Bawacha Mkoa wa Rukwa
Lakini Walikuwepo Viongozi Mbalimbali Wa Chama na Mabaraza, Kutoka Mbeya Mh David John Mwambigija aka Mzee wa Upako pia alihutubia maelfu ya wakazi wa Mji wa Mpanda.
#FreeTunduLissu #KatibaMpya
The challenge before us is not merely the continued reports of abductions, but the existence of operational and contextual indicators that raise fundamental questions regarding the effectiveness, independence, and accountability of the institutions legally mandated to prevent, investigate, and address such incidents in accordance with the Constitution and the law.
Where institutions entrusted with the protection of citizens are repeatedly mentioned in public discourse concerning serious human rights violations, it becomes imperative that independent, transparent, and credible investigations be undertaken. Such inquiries are essential not only to establish the truth, but also to restore public confidence and reinforce the rule of law. Justice must not only be done; it must be demonstrably seen to be done.
Accordingly, any expectation of a lasting solution cannot be founded upon commendation or official assurances alone, but upon truth, transparency, and accountability. In the absence of meaningful investigations and effective accountability mechanisms, efforts to address this crisis risk being perceived as dealing with its consequences while leaving its underlying causes untouched.
BAK MWABUKUSI TLS PRESIDENT .