"Jezi ya msimu huu hakuna binadamu yeyote ambaye amewahi kuona jezi nzuri kama hii, ni jezi kali vibaya mno, Diadora wenyewe walikuwa hawaamini kama hiyo jezi inakuja Afrika. Wanasimba wenzangu kila mmoja aandae Tsh. 45,000 ya kununua jezi yake."- Semaji Ahmed Ally. #NguvuMoja