@FumboKhan2019 Unafkiri jersy za untd,arsenal,chelsea znauzwa bei gan!?? Au kwasababu mnauziwa famba. Naenda kanunue jersy OG si chn ya 150k Inatgemea n class
@privaldinho Huo ndyo uwezo wake...why umuonee huruma.. Shida mnaamini kuw n world class kisa tu gharama alizosajiliwa frm leceister ..ila ana uwezo wa kawaida sana