Wema wako watu huusahau haraka, lakini kosa lako hata liwe dogo hubaki mioyoni mwao milele.
Usibadilike kwa sababu ya walimwengu endelea kuwa mwema, kwa ajili ya nafsi yako.🤝🙏
Let your dreams be bigger than your fears, and your actions louder than your words👊✴️
Ndoto zako ziwe kubwa kuliko hofu zako, na matendo yako yawe na sauti kubwa kuliko maneno yako.”🥊🙏
On the anniversary of the birth of the Prophet (peace be upon him), we recall the values of mercy, goodwill, and unity that continue to define his legacy and inspire us as we pray to God to grant stability and peace to all peoples of the world.
@Sirajitz1 Mm namshukuru sana Mungu nimeweza kuwatambua hawa viumbe kwa ukaribu sana...mwanang yoyote ambaye bado unajitafuta...usiwekeze kwa mwanamke..unless anawekeza kwako...lasivyo usiwekeze kwa mwanamke kabisa kuwa mchoyo jiwekeze ww kwanza ...jiweke ww kama priority..utanikumbuka!!
Ewe Mwenyezi Mungu, unisitiri na kuirekebisha hali ya moyo wangu kwa ukamilifu, kwani Wewe ndiye Mlezi wake. Hakika hakuna jambo linalokushinda duniani wala mbinguni..🤲