Almost mwezi sasa Claude inakula sana tokens
Kitu nimejifunza
1. Usiweke screenshots au pdf
2. Copy text kwa screenshot au pdf weka kwa google docs
3. Export kama Markdown(.md) file
Halafu ndo uweke kwa Claude
YouTube ni chuo kikuu Cha bure.
Kuna chaneli zaidi ya 40,000,000 huko, ni ngumu kupata channel nzuri.
Wakati napitia machungu ya kuchoma Account, Nilikua natumia masaa 6 kila siku kujifunza Trading YouTube.
Hizi hapa Trading channel
8 zitakusaidia kuijua Fx vizuri.
>>Uzi<<
Tip rahisi:
Usianze YouTube Automation kwa kubuni idea.
Anza kwa kuchunguza.
Angalia vitu hivi...
1. Kitu gani kina pata views nyingi
2. Nini kina demand kwenye soko
3. Nini kinajirudia na wewe ukifanye kwa style yako.
Data kwanza. Creativity baadaye.
Fanya kitu chenye uhakika wa kukulipa.
@EsirEid Mm nadhan trump mna muoverate Sana, trump ni kivuli tuu kuna iyo secret Society ndio yenye power marekan na trump yeye ni kuskiza oda tuu sio kwamba anayo amua ni ya akili mwake no. Kuna watu wenye power nyuma ndio wataka yote hayo.
@emabilly2001@Sativa255@gabyconscious Uyo dogo Janja miaka yote nenda Rudi followers wake ni wa papatu papatu. Iyo level haezi fika. Alafu kutanguliza hate kwenye ugali wa mwezio uwo nao ni uchawi. Kapata mileage kutumika na system kajisahau. Inshort dogo kitambi anafaa midole ya matako apoteee kabisa umu
🇷🇺🇮🇷⚡🇺🇲 Confirmed presence of a Russian nuclear submarine near the Strait of Hormuz.
Moscow has officially deployed six submarines, including two nuclear ones, near the Strait of Hormuz for a discreet mission to protect Iranian infrastructure, according to reports. Their primary role is to prevent the United States and Israel from freely entering the strait or approaching the Iranian coast.
This deployment sends a strong political message to the West, signaling that any major escalation against Iran could directly involve Russia.
@ally_eh@gabyconscious Ili bifu ili liishe vizur ni mafole apakwe wese akome kuingia anga za watu. Dogo kitambi amekua mjuaji Sana sababu anatumiwa na system nowadays. Hii vita isiishe