Is your Heart dwelling on the Dark side? It's never too late to Return to the Light of your CREATOR the Almighty (ALLAH) and Repent for All Bad things that you have ever Done. @fahad_rajab @ Arusha, Tanzania https://t.co/jTKOhyJsxH
Amani ni jambo la msingi katika maisha ya kila siku ya Binadamu, Na Kuna maswala Kadhaa yakidhibitiwa Vyema Tunaweza kuidumisha amani! Katika Jumuiya ya Afrika Mashariki tunakumbana na uvunjifu wa amani Haswa katika… https://t.co/dca3yaUZIj
Abuthaaqib- Mhitimu Inaonyesha Maisha Halisi ya vijana waliopo Katika Jumuiya Ya Afrika Mashafiki! Kwa mwaka tunapata wahitimu wengi katika Jamii ila Kazi Nazo zinakua ni Changamoto Kubwa kwao na wengine Kupelekea… https://t.co/LpThBHUpPA
With abu_khayrat ✨Bismillah Rahman Rahreem✨ 🌹Surat An-Nur 24:-165 🌹
165. Naye ndiye aliyekufanyieni washikaji wa Mahala pa hao walioondoka katika hii ardhi (waliangamizwa huko zamani. Sasa muko nyinyi badala yao.)… https://t.co/L59ROHsuXm
''Nyumba ya Amani huanza na msingi Bora Wa Akili zilizo Salama, Kila Mzazi ni Mwalimu juu ya Mwanawe yatupasa kuwalea Vyema, Ili Nyumba ya Amani itakapotawala Maadui Wasipate lakusema, Basi Amani na itawale ili Tuwe… https://t.co/Aj2iJY0btB
"Watoto Ndio Taifa La Kesho, Ila kumbukeni Wanategemea Urithi kutoka Katika Taifa la Leo, Leo Ndio sisi na Kesho Ndio Wao, Na ikiwa Tumesahau Kuwa wao Ndio Watunza Amani ya kesho Wakati sisi Hatuna Nguvu Tena ya… https://t.co/xFhStyA46v
"Je, Ni nani mwenye Thamani Zaidi ya Ndugu Mliopendana Kwa Ajilli Ya ALLAH na Mkitegemea Malipo Kwake Pekee (ALLAH) Asiyekua Na Mshirika?,Tabasamu Pekee Bado Halidhihiri Raha Ya Muonekano Wa Yaliyo NYOYONI, Ijapo… https://t.co/piRJfHos7F
*TUWAVISHE HIJAB*
Msafara wa kuhamasisha, kuelimisha na kusaidia jamii juu ya suala la *Hijaab* unaendelea😊
Wanafunzi na wazazi wasio na uwezo watapata kuvaa hijaab
Chukua fursa hii kuungana pamoja nasi ili… https://t.co/2HJ7n8juZv
"Sio tu yule aliye Ndani ya Msitu Mkubwa wenye vitisho na aliyeshindwa kuvuka mipaka ya Nchi ndio Mkimbizi, Aliyetoroka Machafuko ya Nchi yake kuitafuta Amani kwa kuvuka mabonde Na maji kuyachapa mbizi, Au Yule… https://t.co/NBzi51mLCW
@Abuthaaqib Inawaletea Kongamano La Kanzu Yangu! Yaani wanaume Pekee, Tutakutana Ili kuweza Kuilinda Na kuitetea Hijab, Tutafanya Harambee kwaajili ya Wanafunzi Wasio na uwezo wa Kupata Hijab Mashuleni, Mgeni Rasmi… https://t.co/slH4YbLVBp
@Abuthaaqib Alhamdulillah kwa Uwezo wa Allah tumeweza Kufanikiwa Kugawa Hijabs 134 Kwa Wanafunzi wa Shule Ya msingi Bagara! Iliyopo Endasak Wilaya Ya Hanag! Allah awalipe @pinkhijab_tz kwa… https://t.co/8vKYwBn5rc
💡CHANGIA HIJAB💡
@Abuthaaqib@Abuthaaqib ❤( Shkh: Muhammad Kadidi ambaye ni Sheikh wa Mkoa wa Manyara ) AKIHAMASISHA UCHANGIAJI WA HIJAB❤
Tuwavishe Hijab 🇹🇿Tanzania +255 767 064 676 Al… https://t.co/IPmhPR9W3z