I shot a documentary to appreciate the unsung heroes who keep our communities clean. They are just as important as other health professionals because a clean community is the first step to preventing disease. They are truly the first line of defense for our health.
@iam_Mtalicy@Isayadicksonjr yaani unasema TZ hakuna gap la maskini Hii Tz ukiondoa Dar huko mikoani Matajiri unawahesabu hii nchi ni kapuku tu sema tu Tz tunalima chakula chetu na Ardhi ni kubwa ndo maan huko mikoani watu hawalali njaa na hawakosi hata nyumba za tope kuishi ila nchi ni maskini
@iam_Mtalicy@Isayadicksonjr Hujaelewa point yake mkuu
Ungesikiliza kwanza ametumia mwananyamala kama lugha ya picha kuonesha Gap kubwa kati la maskin na matajiri katika hii nchi. Pia hao wenye hela wanaoishi huko uswahilin hawazidi 1% ya watu wanaoishi huko