@C_NyaKundiH Hii maybe wapewe mid term,la sivyo zitachomwa zote,nakumbuka tukiwa shule,tuone shule kubwa imechomeka,tunajiuliza kama wale wamechoma mbona sisi tusichome,na hivyo ndio ilikuwa inaenda
@C_NyaKundiH Gambling??hiyo kitu ni shetani,sasa it's true hii government ni ya kishetani,ni juzi tu,tukitoa confessions vile hizi gambling zimefanya watu kuwa Kwa madeni na depression, kwani hawaoni na wao???this is stupidity
@DrJuma_M@kilundeezy@JalangoMwenyewe Jalango knows well hawezipata kiti langata Tena,thats why lazima atafute kitu itafanya abaki relevant,that is kuongelea sifuna Kila siku ndio at least aonekane