@mangekimambi@realDonaldTrump Katika vitu sitowahi sapoti ni hizi za kushangilia Iran kupigwa au Cuba,na story ya Cuba kuachia wafungwa haihusiani na teumph
@Getrude_mollel Hivi huyu getrude ni mwanamke kweli au ni nani kwa serikali inabidigi atafutwage huyu tumjue,Hii ropoka unayo ropoka mamangu haijengi inabomoa,Please wana ccm mfanyage vitu kwa kufikiri si kutopoka tuu maana sidhani kama mnatumiaga akili hata siku moja