Ukishindwa kuwa BAHARI, basi uwe ZIWA, na ukishindwa kuwa ZIWA basi uwe MTO, ukishindwa kuwa MTO uwe MFEREJI ili upitishe kitu cha THAMANI kwa ajili ya watu.
NGUVU YA MAONO
Je ni neno gani unaweza kumshauri Kijana anayefukuzia ndoto yake na Maono yake kwa ugumu, yeye akiona rasilimali fedha ndo inamkwamisha kwa wakati huo?