WAPINZANI WOTE AKILI ZAO ZIKO SAWA!.
Siasa kama za CHADEMA hizi! Mnakwenda kupotea sasa hivi kama mmefika hatua ya kukosa akili kiasi hiki.
Tulitegemea mtuambie kule Zanzibar ambapo mko kwenye ndoa na CCM mmefanya mambo gani na mafanikio ni yepi na mkishika dola huku bara mtafanyaje. Lakini siyo huu upuuzi!
#KigogoMediaUpdates
Unaweza kuwa mbovu theory ukawa mzuri kwenye practical.
Hii kauli Usije ukaiaply ukiwa unasoma chuo bado. Ukiwa chuo jua theory ukitoka chuo jua vyote.
Kuwa deep. Very deep.
Bashite wewe si ulikuwa na kikosi kinateka watu na kuwauwa au umeshasahau🤷🏼♂️
Yaani hao wanaotaka kukuuwa sasa hivi wanaharakisha wewe tunangoja uzeeke na akina Keegan waanze shule ndo tukung'oe koromeo ili wa feel vile watoto walioachwa yatima wali feel kwa sababu ya ushenzi wako