ILLEGITIMATE GOVERNMENT: WHITEWASHING & POLITICAL THEATRICS
TO DIDIER DROGBA & RIO FERDINAND
You’ve allowed yourselves to be used as “Political Stooges” by the illegitimate Tanzanian government that confiscated power through bloodshed. It is ashamed that after all the years of playing professional sports, you didn’t do your due diligence to find out the motives, purpose & intentions of those who summoned you. Perhaps you just cared for “the bag” they offered.
DROGBA letting yourself to be paraded as a MASCOT by The Ministry of Sports & Arts into the Parliament, in luxurious cars (A classic Paul Makonda theatric), What was that?
RIO FERDINAND what were you doing in Tanzania? a free “Safari” vacation paid by taxpayers money? So you saw negative PR online and then came out to say “you’re not here to do politics”? Who told you what you THINK you’re here for matters?
So you try to tell me you believed the words of people who killed their own people? SUALA SIO WEWE KUSEMA HUJAJA KUFANYA SIASA, NI KWAMBA UMELETWA NA WAUAJI ILI UTUMIKE KISIASA KUWASAFISHA.
TO SERIKALI HARAMU
BAJETI YA WIZARA INAMUHUSU VIPI DROGBA. Na hao MAMISS na WASANII kwanini mnawaita pia waisindikize Budget badala ya Kuwashirikisha Kuiandaa? Kuna yeyote upande wa Sanaa na Habari ameombwa input? I will wait….
Iko wazi, SERIKALI HARAMU haipo kwaajili ya maslahi ya Nchi wala Wananchi, bali kila tendo lake ni kujaribu kujihalalisha na kubaki madarakani, na ndio maana wanafanya ubadhilifu wa Rasilimali na Fedha zetu, kuleta watu wakidhania watatupumbaza. Ndio shida la kuweka “Waziri Kiziro” yeye anajua kiki tu. Tunawapenda kina Drogba, Rio, Terence Crawford, nk, ila tunawapenda zaidi ndugu zetu mliowaua October 29th - 31st.
MTAJUTA KUTUSOMESHA, maana MAIGIZO YA KISIASA na jitihadi za KUFICHA UHALISIA, tunauona CLEAR.. And not TZ or the WORLD IS BUYING IT!!
The Leader
Kesho tar 29 ni siku ya maombolezo kuwakumbuka watu wote waliouwawa na waathirika wa tar 29 Oktoba na siku zilizofuata—wengi wao wakipigania uadilifu wa bendera yetu 🇹🇿! Tutakuwepo!
Madenge aliniambia 'ooh unajua serikali imedai tunalipwa, sasa ni vema na sisi kuonesha yes tunalipwa na kuwashukuru wafadhili.'
Sikumuelewa!
Nikauliza tena - nani amekupa hayo maudhui?
Akasema 'kuna jamaa yake anafanya kazi Ford South Africa ndiye kampa.'
Madenge aliongeza kuwa Ford Foundation wanataka publicity na yeye ameombwa awasaidie kufanya PR.
Yet, he never made sense na alikuwa anaongea kama mtu aliye under influence.
Hakutaka ku engage na mimi zaidi. Maana nilikuwa namuuliza maswali mepesi ila yanayo mu expose.
Suala linalohusu na/au kuhatarisha maisha ya watu lazima tulipe umakini stahiki.
Propaganda ya waandamanaji kulipwa na Ford Foundation ni uongo wenye hatari.
Ulikuwa mkakati wa dola kujisafisha dhidi ya mauwaji.
Madenge, kwa kujua, alitumika kusambaza propaganda hiyo.
🧵🧵
Kibaka kombo anadai nchi imetulia, wame heal, shughuli zinaendelea na tusirudi kwenye chokochoko.
Chokochoko ni nini?
Nani aliuwa maelfu ya Watanzania?
Watu walipigwa risasi kwa amri ya nani?
Nani amewajibika?
Hayo👆🏻maswali LAZIMA yajibiwe kwa utimilifu wake!
Kombo ni kiazi par excellence.
Anadai baada ya kuapishwa ktk karakana, Samia muuwaji alimpa barua 20 asambaze duniani.
Ushinde 98%, kwanini ujieleze duniani?
Kwanini Samia hajasafiri ktk Taifa lolote la maana kwa miezi 7? Maelezo hayakusaidia?
Kwanini mnalilia US visa?
I stand with @Chahali This Nigerian @DavidHundeyin should not be turned a blind eye to! Our country is not a joke like they think. Let the politicians pay those they think have the ability to clean up their wrongdoings, but we activists have one duty: to ensure he does not succeed.
We stand together against this ! Let us make the world know how the skunks smells though him
Pumbaffff! Yaani baada ya @rioferdy5 kuwagomea na kusisitiza msimtumie kisiasa kufanya sportwashing maana anachafuka unasema eti we ndo ulimwambia asipost!?
Unatuonaje Makonda?? Moto mmeupata na huyo “good friend” wako tutasukuma wamchunguze kama ulimlipa - apelekewe moto!
Mmezidi kutudharau na sisi tutawafinya hadi akili iwakae sawa 👊🏽🔥
#TutaelewanaTu
"I am glad to see steps being taken to hold Tanzanian officials accountable.
This is why my recently introduced legislation with @SenTedCruz calling for a bilateral review of the U.S.-Tanzanian relationship is imperative now more than ever." -@SenatorShaheen
The Tanzania 🇹🇿 government is doing everything in its powers to try and launder their image after the October 2025 Massacre after elections.
After paying millions to bring Didier Drogba they are now on former Manchester United star Rio Ferdinand.
African governments frequently use high-profile football stars for sportswashing to divert global attention from human rights abuses, election-related violence, and corruption.
By associating their administrations with beloved sports figures, regimes attempt to launder their reputations using the positive emotions and prestige surrounding the beautiful game.
Rio should not be talking about justice for the hundreds of families that lost their loved one but have never been given their bodies for burial.
Let him make his millions but don't dupe people talking about peace.
There is no peace without justice period.
@soka25east
MAMA YENU MZIMA KWELI HUYO?!
Unakuja kutuambia unaunda Tume kuchunguza, alafu mnakuja kwetu tena kukabidhiana matokeo, huku mkijipigia makofi, alafu Unatukoromea “HII NI RIPOTI YANGU”… ?!
Sasa kama ni ripoti yako, sisi mnatuhusisha nayo ya nini? Kwanini mfanye broadcast kwenye public media? Si mngepeana kimya kimya? Kwanini Tume inakuja kujieleza kwenye press conference? Kwanini mnalazimisha tukubaliane nayo?
I tell you what, YOU ARE RIGHT… RIPOTI NI YAKO!! Sio Ripoti ya WANANCHI, Sio Ripoti ya UKWELI, Sio Ripoti ya UWAZI, Sio Ripoti ya UHALISIA, Sio Ripoti HURU na Sio Ripoti ya HAKI.
Kulikuwa hamna haja ya kutukumbusha kuwa Ripoti ni yako, maana tulifahamu toka mwanzo na hakuna mtu alikuwa na shida na Ripoti Uchwara!! Ila Ukitumia Fedha za wananchi (walipa kodi) lazima rekodi ziwe public ili tuhoji matumizi ya rasilimali zetu.
NDIO, Ripoti ni yako sababu; Umeiunda Tume wewe, kuweka wajumbe wewe (hadi ambao wana “conflict of interest”), kuipa hadidu za rejea zako (sio za Wananchi wala za kujua Ukweli na Uhalisia), kwa malengo ya kujisafisha na kujiengua kwenye Tuhuma (ingawa iko wazi ni muhusika mkuu), na pia kwa lengo la kutaka kuwaangushia jumba bovu wasio na hatia.
THERE IS NO REPORT THAT CAN CLEANSE & SANITIZE THE ATROCITIES YOU HAVE COMMITTED, CAUSE THERE IS NO SANE, RATIONAL & LOGICAL HUMAN BEING THAT CAN BUY THE BULLSHIT YOU ARE TRYING TO SELL.
Kaa na Ripoti Yako, Sisi tunataka A FREE, TRANSPARENT, UNBIASED INTERNATIONAL COMMISSION OF INQUIRY… Until then, MTAJUTA KUTUSOMESHA.
The Leader
‼️TUNDU LISSU HATARINI !! ‼️
Leo kumetokea tukio ambalo limeshitua watu wengi namna lilivyotokea. Tundu Lissu amepelekwa mahakamani bila taarifa kwa CHADEMA, mawakili wake na familia yake. Mwanzo, ilichukuliwa kama tabia mbaya na ukatili tu wa hawa CCM, hasa serikali ya Samia, imetenda matendo mengi sana yenye utata na ukatili.
Lakini wazungu wanasema 'The devil is in the details.' Kuna mambo mawili yaliyovuja na yanahusiana na tukio la leo.
- Moja, siku usiku uliopita na jana, Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam (RPO) jana usiku amekuwa na shughuli nyingi sana kuhusu Lissu, kutoka kwenye ofisi yake wanasema alikuwa na kikao kirefu sana na mkuu wa magereza wa Ukonga, kikao kirefu sana. Kutokana na kikao hiki, mambo mengi yamebadilika hapo magerezani kwa mazingira yanayomzunguka Lissu.
- Kutoka kwa Ofisi ya RPO ime leak kwamba yeye na maafisa wengine, hasa yeye, ndiyo link yake na watu wanaompangia mabaya Lissu akiwa gerezani. Maagizo mengi yanapigwa kwake kwa utekelezaji, kwenda kwa maafisa wengine wa magereza. Japokuwa kuna mengine yanakwenda moja kwa moja pale gerezani kwa mkuu wa magereza
- Mbili, Hii ni hatari na mpango mchafu. Kutoka Zanzibar, kile kikosi alichosema @HildaNewton21 ambacho kilipangwa kuja kumfanyia uovu Lissu, wanasema kiko Dar tayari kwa hiyo shughuli waliyo panga. Na ndiyo maana baada ya @HildaNewton21 kuandika, polisi walipaniki. Malengo wanataka hao wahuni wakishafanya uchafu wao wapotee huko Zanzibar, hata askari magereza wa huko hawatatoa taarifa walikuwa ni kina nani. Kikosi hicho cha Zanzibar si wote ni askari. Hili suala alilosea Hilda sasa liko kwenye utekelezaji la leo ni moja ya hizo siku wamefanya vitu vinashangaza watumishi wa umma wazalendo
- Leo, tukirudi kwenye tukio la leo, jana usiku RPO Dar ameangaika kufanya mambo mengi sana. Moja ya mambo ni kwamba tumethibitisha na baadhi ya wazalendo mahakamani kuwa KIKOSI KICHOMPELEKA LISSU MAHAKAMANI leo ni kipya kabisa. Hapo mahakamani hakuna anayewajua waliokwenda na Lissu, haijulikani walitoka wapi, na kuna hofu sana kuhusu kinachoweza kutokea na hawa wasiojulikana.
- Sasa Mafwele na Makonda huu mpango wenu mnaouyafanya mnaona una baraka zozote za Mungu ndani yake? Mnafikiria kwamba mnayotaka kumfanyia Lissu Umma utakubali? Lissu akitoka magereza au akiendelea kuwa gerezani dhamana ya afya/uhai wako huku juu yenu kwa muda mrefu msije mkajichanganya. Hizi kazi za Abdul mnazofanya na siasa chafu za Makonda kwa kufikiria anaweza kuondoa wanasiasa imara wote nchini , sababu ya ndoto za kisiasa ni kupoteza muda tu. Acheni na hii mipango yenu mibaya na kama leo mmefanya kitu chochote kupitia hiki kikosi mlichokitumia kumpeleka mahakamani kisichojulika, ni bora mkarekebisha mapema maana hakuna namna mtaweza kujificha na huu uchafu mnaopanga.
- Wewe RPO wa Dar, hizo tamaa na ujinga unaokusumbua utakuponza, hauna kinga zozote za kufanya upuuzi huu unaoendelea utafungwa sababu ya huu upuuzi . Lissu anafuatiliwa na jumuiya za kimataifa na wananchi wote wa Tanzania hawatokubali huu upuuzi mnafanya au kupanga kufanya, hata Ndugai na Lukuvi walikuwa na kiburi kuliko wewe. Na walifanya kazi mbaya nyingi sana wako wapi leo? Wamefanya nini?
- Kwa maafisa wa magereza, msikubali kufanya kitu chochote bila proper document au Taratibu, msikubali hicho kikosi kipya kuwapa amri kufanya mambo ya kihuni, hao ni wasiojulikana wakishafanya mambo yao wewe uliyepozamu ndiye utajibu dunia yote hii, Chande alionywa akakaza shingo lakini leo anajutia huko analia kama mtoto mdogo, pesa alizopewa wala hazina tena thamani, Msikubali kufanyishwa kazi chafu, kwanza pesa wanakula wahuni wengine msikubali kabisa kushiriki fuateni taratibu na aangalieni kwa makini sana vitambulisho mnavyopewa na hao wahuni wanapokuja, pia jifunzeni kufanya upelelezi mtu yeyote mpya anayekuja kwa issue ya Lissu anakuambia ameamia sijui kutoka wapi jua anakudanganya, kama kuna mtu ameongozana naye ambaye ni boss wake mfano Mafwele mwambie asinishwe yeye , jiwekeeni kinga mifumo inawahuni watafanya tukio mtafungwa nyie
- Kumbukeni. Juzi hapa Chande amesema waliouawa watawajibika wao kama maaskari waliobeba bunduki, hakuna askari atakingiwa kifua na hawa watu. Fanyeni kazi zao ili wakianza, pelekewa moto kimataifa mtajikuta mmeingizwa. Kumbukeni mkifanya ujinga, vipimo vyovyote kuhusu Lissu, wananchi tutachanga hela, yaje mashirika kutoka Marekani kufanya vipimo. Hakuna namna kutakuwa na siri yoyote hapo na itajulikana mpaka nini kilifanyika na lini. Makonda na Mafwele hawana akili ya kufanya tukio la maana, ni wahuni tu. Mambo yao wanayofanya yanavuja kila siku na ndio maana leo, hivyo kikosi kimejulikana tena kutoka kwa ofisi ya RPO na hakuna namna atajua habari zimetoka vipi, maana ni mjinga tu, naye asiwapelekeshe. Hizo ofisi za umma zina wazalendo wengi, tena toka mmeshindwa, watu wazalendo wameongezeka kila kona.
https://t.co/5P5JmbCOuH
-- Makonda , Mafwele na Abdul na huyo iddi Amini Mama eleweni kitu kimoja, Wananchi wamechoka umwagaji Damu, wamechoka sana
-- Watumishi wa Umma kwenye vyombo na mahakama wameshashituka kuna mambo mnafanya nje ya utaratibu na wanajua mnataka fanya nini , Watumishi wa umma wanajua wakiona sura za wahuni hata kama watavaa soski mwili mzima, watu sio wajinga wanajua na wanajua nini kinaendelea, Watumishi wa mahakama wanasema kikosi chote leo ni kipya kabisa choteeeeeeeeee na mmewatia hofu,
-- Kila mtu ameshashituka tunaelekea kwenye msimu wa mauaji makubwa ya wanasiasa na wanaharakati hili kuiteka nchi , hapo ndipo mtachemsha vibaya sana
*MUHIMU SANA✍️:* Tafadhali unga mkono wito huu wa dharura wa kupitia upya, kumvua sifa, na kumuondoa Mohamed Chande katika jukumu lake la kitaalamu ndani ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, pamoja na kuanzisha uchunguzi huru nchini Tanzania.
Kwa mshikamano na watu wa Tanzania waliotayarisha mawasilisho haya, tunatoa wito kwa watetezi wa haki za binadamu, mashirika ya kiraia, harakati mbalimbali, na kila anayejali ukweli, haki na uwajibikaji kusimama na kuongeza jina lake kwenye barua hii.
Tunakataa kukubali ukimya, upotoshaji na hali ya kutowajibika mbele ya mauaji ya halaiki. Hatuwezi kuruhusu walioko madarakani kubadili simulizi au kuondoka bila kuwajibishwa.
Haki haitolewi bure—hupiganiwa kwa pamoja na kwa uthabiti. Ongeza sauti yako, unga mkono barua hii, na uwe sehemu ya msukumo unaodai ukweli, uwajibikaji na matokeo halisi.
Pitia na Uunge Mkono Hapa: https://t.co/NH260OD54v
Mwisho wa muda: Jumamosi, tarehe 2 Mei