Ukiogopa sana lawama huwezi kuyafurahia maisha yako.kumbuka kuishi ni Mara moja tu hapa duniani, na kuishi ni lawama, Lawama ni kwa walio hai, sifa nzuri ni kwa marehemu tu!
Kuwa small circle marafiki inaweza ikawa ni kitu bora kwako
Kuliko wakawa wengi end of day kuna kuwa na u snitch ndani yake
Na kwenye u snitch hakuna mchongo zaidi kunywa pombe na madem ndo story zinazotawala
Real Nigga Stay Original
Hakuna anayekuja kukuokoa, na ukweli ni kwamba hakuna anayekuonea huruma. Dunia haisimami kwa sababu umechoka, maisha yanaendelea bila kujali hali yako. Ukisimama, utaachwa ukijikaza, utaendelea
Kozi ya Plumbing VETA Ada ni Shilingi Laki 3 kwa miezi mitatu tu.
Plumbing nyumba moja ni Milion 1, mwezi ukipata nyumba 5 unatengeneza milion 5, viraka vya hapa na pale Milion, jumla kwa mwezi unatengeneza milion 6
Afu ww unakomaa na Petroleum Engenering Miaka 4 sawa mwenetu.
Kuna mchumi mmoja anasema kijana kwenye maisha kuna level lazima apitie ndo atatoboa.
Kwanza-uweze kutafuta hela ya kula tu,
Pili- hela ya kukidhi mahitaji yako
Tatu- uweze kuweka akiba
Nne- kuanzisha maisha
Tano- kusaidia watu
Wengi huchanganya ndomana wanakwama.
Maisha yatakupiga, bila kuuliza kama uko tayari.
Utaachwa, utapoteza kazi, utazama kwenye madeni. Huo si mwisho wako bali ni mitihani ya maisha.
Mwanaume hasimami kwa kulalamika, Hasimami kwa kutafuta huruma.
Anakaa kimya, anajipanga upya kupigana vita vyake, anatafuta njia
Ukipata pesa jitahidi kutumia na wale watu ambao huwa unawapigia simu ukiwa na pesa zako
Lakini ukiwa huna pesa unakuja kusumbua watu kwa kusema waku save na wakati kwenye bata lako simu hazikuita
People tumeumbiwa mistake ila kuna kitu kinaitwa respect 🫡 game,kuna time unatakiwa kuwa good behavior na kumpa mtu maua yake kwenye public ya watu kuliko kumfuata kwenye sms kuwa “Yeah!!! Nigga I’m respect Nigga” wakati ukija kwenye post zako una watu wako unawakubali
Achana kabisa na masuala ya kuamini kuwa yupo mtu fulani nyuma yako atakae kusaidia siku ukikwama•
Jitahidi sana ujifunze kujitegemea, Watu wamebadilika na ubinafsi umeongezeka kwa Asilimia 100%, Sasa hivi ni Changu changu, Chako chako
Sio Kila Anayekuita BEST FRIEND Ana Maana Ya Kweli,Nyuma Ya Hilo Neno. BEST FRIEND Sio Tu Jina La Kutamkwa Ni UAMINIFU Wakuishi
Kuna kufahamiana na Kujuana,hatupigiani simu wala sina number yako huenda tunakuta kwa sababu mshikaji wangu mm ndo mshikaji wako ww