Fikilia saizi ni saa 8 usiku kuna kijana mwenye umri kama wangu ajui atakula nin atalala wapi yuko na nguo alio vaa toka juzi mwilini. Asante mungu kwa hiki kidigo,nguvu na pumzi unayonipa. Asant mama kwa baraka na dua unazoniombea.
#SijazaliwaTajiliilasitakufamasikini
Kuna muda kwenye maisha ili mladi uzidi kufanikiwa zaidi inabidi ukubali kupoteza vitu vyako vya thamani kwa ajiri ya kujifunza kivilinda vilivyo vya thamani zaidi…😎
#Nipe mkono🤝
UTAFUTAJI….kama mwanadamu inabidi upambane kutafuta maisha bora ila kwenye utafutaji wako kama itatokea ukakosa usifanye kuwa kama tatizo kwak jipe imani kuwa kuna kesho na utapata unacho kihitaji kwa kukipambania…✍️
UJANJA…Sio kuwa na maneno mengi,kuwa tapeli,muongo muongo wala sio kuwa mtu ambae ueleweki ata mishe unayofanya…ujanja nikupambana na kufanikiwa kwenye mishe zako na kuwa-push wanaokuzunguka….✍️
LIFE…linahitaji umakini na akili ili ufanikiwe.Alihitaji ujuaji Sana ujuz wa hali ya juu Elimu ya degree hapana...Nidhamu upole na subra ili uzidi kufanikiwa.Heshima kwa kila mtu uthubutu wa kila jambo ndio vitu pekee vinaweza kuonyesha utofauti wako wew na wengine
The difference between time and money is that money can be stored for future use. Most people make the mistake of saving money by wasting their time….@it’s Madrizy🖤🦅
Maisha yanahitaji upambanaji wa hali ya juu sana ata anaye kushika mkono leo kufikia malengo yako ipo siku atahitaji umshike mkono kumaliza shida zake..🖊️
No matter what you do, someone will always talk about you.
Someone will always question your actions and your judgement. Someone will always doubt you. All you can do is smile, do the best you can and make choices you can live with.😊