VIDEO:
Aurelie Joseph, mmoja wa wahanga wa machafuko yaliyotokea Oktoba 29, 2025 amesimulia mkasa wa kuhuzunisha wa jinsi alivyopigwa risasi akiwa ndani ya nyumba yake Magomeni Kota mkoani Dar es Salaam tukio ambalo liliacha alama ya kudumu mwilini na moyoni mwake.
Siku ya tukio, Bi. Aurelie anasema alikuwa amelala ndani kwake. Kwa busara, alikuwa ameshawaondoa wajukuu zake mapema kwa kuwarudisha kwa wazazi wao ili kuepuka usalama wao kutokana na hali ya hewa ya kisiasa ilivyokuwa. Ghafla, akiwa bado amelala, alishambuliwa kwa risasi iliyompata maeneo ya mkononi karibu na bega.
Bi. Aurelie anasimulia mbele ya Tume ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi wa Oktoba 29, kuwa alikuja kupata fahamu akiwa hospitalini, ambapo alijikuta katika mazingira ya kutisha yaliyotapakaa damu na miili ya watu alioamini kuwa wameshafariki.
Akiwa bado dhaifu wodini, Bi. Aurelie anasema alitembelewa na binti yake. Hata hivyo, utulivu huo uliingiliwa na kikosi cha watu wenye silaha kilichofika hospitalini hapo kuanza ukaguzi wa wagonjwa. Kwa kuwa alikuwa kitanda cha kwanza, alianza kukaguliwa yeye.
Watu hao walipouona wino wa kupigia kura kwenye kidole chake, walianza kumhoji kwa ukali: “Ulimchagua nani?”
Bi. Aurelie anasimulia jinsi alivyojibu kwa ujasiri: “Niliwaambia nimemchagua ninayemjua mimi kwa sababu kura ni siri. Wakasema mimi ni jeuri, ikabidi nijibu tu kuwa nimemchagua huyo huyo aliyepo madarakani.”
Licha ya majibu hayo, kikosi hicho kilimtuhumu kuwa huenda alikuwa mchochezi wa wajukuu zake kufanya fujo, kabla ya kutoa amri kali kwa uongozi wa hospitali kuwa wagonjwa wote waondolewe ifikapo jioni, bila kujali hali zao.
Kutokana na hofu na amri hiyo, Bi. Aurelie alilazimika kuondoka hospitalini hapo akiwa bado hajamaliza matibabu na kurudi nyumbani kwake kuendelea kuguza majeraha.
‼️ Safari za Kitapeli za Marekani na
Ulaya‼️
👉🏽Kumekuwa na heka heka za watawala haramu wa inayoitwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakiongozwa na Mahmoud Thabit Kombo kuzurura Marekani na Ulaya kujaribu kuzima moto wa Who Are You! (WAY) uliowashwa na Samia Suluhu Hassan. Safari zote hizi zimejaa uongo, utapeli na uzandiki!
👉🏽Tunafahamu kila mnapopita mnagonga mwamba na wahusika wanakataa kupiga picha na nyie kwani mmekuwa na utamaduni wa kutumia picha hizo kulaghai raia na dunia
👉🏽Tunatambua umuhimu wa ushirikiano wa kimataifa kwa taifa letu, ila
tunakataa hila za wauaji na madhulumati wanaiokalia Tanganyika kimabavu kutumia raia na rasilimali za nchi kufunika udhalili wao.
#D25 #J1 #SamiaMustGo #KaribuTheHague
Which Club has the best Anthem/Atmosphere?
1. North London Forever- ARSENAL
2. You’ll Never Walk Alone- LIVERPOOL
3. I’m Forever Blowing Bubbles- WESTHAM
4. Chelsea, Chelsea, Chelsea- CHELSEA
🎒 Kibegi kimefika kwenye kilele cha mlima mrefu zaidi barani Afrika na kutupa nafasi ya kuandika historia ya kuzindua jezi kwenye Mlima Kilimanjaro.
Picha zaidi kuwajia hivi punde.
Shukrani za dhati kwa @CRDBBankPlc@TTCLCorporation#Kibegi#WenyeNchi#NguvuMoja
Mkeka wa usiku | Kampuni ni Sportybet
Odds ya 4.50 | Mechi zipo 5
Uhakika mkeka kutiki ni 100%
Angalizo: USIWEKE HELA NYINGI
CODE 👉45490AA
RETWEET NA WENGINE WAPATE CODE
Lile treni la BETPAWA la odds ya 139 nililopost jana usiku code yake ni hii hapa 👉40DB5E9
Mechi zipo 20
RETWEET NA WENGINE WAPATE CODE
Saa tisa mchana leo nitaachia mkeka wa mechi za leo wa odds ya 4.20 Kampuni itakuwa ni Sportybet Tanzania. RETWEET NA WEKA ON NOTIFICATION
UKWELI KUHUSU SAIKOLOJIA YA WATU WAKIMYA ZAIDI.
1. Watu walio kimya huzungumza mengi mioyoni mwao, wakati mwingine hata hujisemea wenyewe.
2. Mara tu wanapokuwa marafiki na wewe, watakuwa wazimu na waaminifu kuhusu maoni yao.
3. Mara nyingi huzungumza