Ndoto yako ya kesho inategemea pia ndoto za kesho za wengine, kama unataka kuja kua CEO wa kuajiriwa, itategemea ndoto ya mtu anayetamani kuja kua na kampuni itakayo kuajiri wewe kama CEO, Tunapo omba tusisahau kuwaombea na wengine kwa sababu baraka zao ndio hela zetu
@killo_killo11 Strong management zenye watu wanaoweza kukutanisha na connection za huko mbele mfano Kuna underground yupo mtaani kwako hapo Hana channel ya kufika hata radio na Kuna mwingine anajipata anakuwa maarufu hapo hapo mikoani kwako
🚨 This is a MUST-HAVE HIT! 🚨
Everyone is talking about it 🔥 and you still don’t have it?
Don’t miss out — this track is trending hard and taking over 🎧💯
👉 Get your copy NOW:
https://t.co/EiO2erjs1z
If you wait, you’ll be left behind
Be part of the wave — support real