Ni good governance gani mlikuwa mnasema mnataka kama mnafight the only person that can bring it? Y’all defending Shakira’s ill intentions should never call out anyone supporting Ruto nkt
Sasa ati Maraga aanze kuassault that cuck? You fools think hajawaiona wanawake? Mafala kama nyinyi ndio mnafanya watu waozee jela for false accusations
That’s what a normal human should have already done. But yeye ju anataka kuharibia Maraga jina amekuja huku online kupayuka Apelekee mapolisi hio evidence na akome kutajataja jina ya Maraga