๐ง๐ฏMwimbaji Ciara Princess Harris sasa ni raia rasmi wa Jamhuri ya Benin. Alikabidhiwa uraia 26 Julai 2025, akihusishwa na eneo la kihistoria la Ouidah na Lango la Wasiorudi, akithibitisha urithi wake wa Kiafrika. ๐๐พ๐ค #CiaraBenin#DiasporaToAfrica
Je, wajua kwamba Mombasa ilikuwa sehemu ya utawala wa Zanzibar ambayo kwa sasa ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ilikuwaje Mombasa hivi leo ikawa sehemu ya Kenya?
Tazama namna nchi ya Spain Barani Ulaya inavyotumia fursa ya wahamiaji haramu kutoka Barani Afrika kuimarisha uchumi wake. #afrika#kenya#migration#asylum#spain
Ujerumani imerudisha mafuvu na mabaki mengine ya binadamu nchini Namibia na kutangaza rasmi kwamba ilihusika na mauaji ya kimbari nchini humo mwaka 2021, na kuahidi kutoa msaada wa kifedha wa โฌ1bn kwa wazao wa wahanga.
๐๐ข๐ฅ๐ข๐จ ๐๐ก๐ ๐๐ข๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ข๐ ๐ฒ๐ ๐๐ค๐จ๐ฅ๐จ๐ง๐ข
Watafiti mjini Berlin wamefanikiwa kutambua ndugu wa watu ambao mabaki yao yaliibwa kutoka Tanzania wakati wa enzi za ukoloni.
Katika Afrika Kusini Magharibi ya Kijerumani, sasa Namibia, Ujerumani ilihusika katika mauaji ya halaiki ya Watu wa Herero na Nama, ambayo wataalamu wengi wa historia wanayaeleza kuwa mauaji ya kwanza ya kimbari ya karne ya 20.
Solomon Mahlangu Campus (SMC) ni moja ya kampasi za Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), Morogoro, Tanzania. Awali ilikuwa Shule ya ANC mnamo 1979, baadaye ikawa SOMAFCO kwa heshima ya Solomon. Kampasi hii ni alama ya uhuru na elimu kwa wote.
๐๐ฎ๐ฆ๐๐ฎ๐ค๐ฎ๐ฆ๐๐ฎ ๐๐จ๐ฅ๐จ๐ฆ๐จ๐ง ๐๐๐ก๐ฅ๐๐ง๐ ๐ฎ
Solomon Mahlangu alizaliwa tarehe 10 Julai 1956, Pretoria. Alikuwa mtoto wa pili wa Martha Mahlangu, mama shujaa aliyemlea peke yake. Licha ya changamoto, alisoma hadi darasa la 8 lakini aliacha shule kutokana na vurugu.
Kwa heshima yake, mwaka 1993, uwanja wa Solomon Mahlangu Square ulipatiwa jina lake, na Solomon Mahlangu Freedom College (SOMAFCO) ilipewa jina lake. Alitunukiwa The Order of Mendi for Bravery in Gold mwaka 2005 kwa ujasiri wake.